Home Search Countries Albums

Belinda Lyrics


The power team music
Eh! Amiri M.A production

Bébé, j’t’ai donné mon cœur
Aujourd’hui tu crées la peur
Dans tout mon être entier car j’étais fière de t’avoir
Mon cœur te dit : «  Je t’aime »
Mon bonheur c’est être avec toi
I don’t know why
Tell me why
You gone my Dodo
Maisha yangu yanarudi mwanzo
Kuteseka kwangu tena ni kibazo
Kwa marafiki zangu ni kikwazo
Ni kikwazo, ni kikwazooo
Maisha yangu yanarudi mwanzo
Kuteseka kwangu tena ni kibazo
Kwa marafiki zangu ni kikwazo
Belinda mamannn

Belinda belinda, Belinda mamann
Belindaa
Belinda Belinda, Belinda chérie
Wa miyeee
Ghum yo mwasi kitoko pona nini obwakisi ngaai
Obwakisi ngaai
Yo mwasi kitoko pona nini obwakisi ngaai
Belinda maman
Belindaaaaa yeeeeee Belindaaa mamaaa

Sometime Belinda nimetaka kuishi na wewe
Wanadamu waka pinga eti siendani nawe
Kwa macho yako tabia na maringo
Belinda mama kwako sijaona shomboo
I-i-i-i don’t know why, Belinda tell me why
Ivi kwanini umeondoka ukaniacha
Huu, Belinda wa miye
Unanifanya nilieeee
Belinda wa miye, unanifanya nitesekee
Ajili yako sina jinsi
Nikiwa nawe najiisi
Nisipo kuona nakumiss
Kila time kweli na ku kiss, hun hum

Belinda Belinda, Belinda mamann
Belinda Belinda, Belinda chérie
Hum yo mwasi kitoko pona nini obwakisi ngaai  
(Obwakisi ngaaaaai  yeeee, Belinda maman)
Yo mwasi kitoko pona nini obwakisi ngaai
Belinda maman
Ajili yako nalia
Kila ninaposikia
Wakisema umeniachaa
Ila nafikiria
Vile tulivyo pendeza, Belinda mamann
Ajili yako nalia
Kila ninaposikia miye
Wakisema umeniacha kweli
Ila na nungunika kwa yale wasemayo,  (nanungunika belindaaaaaa )
Belinda wa miye
Byetu Jacques, Wilfred Simba, Yannick Ngwabi, Gloire Sulemani mwambiyee

Belinda Belinda, Belinda mamann (Belinda mama--aaaa)
Belinda belinda, Belinda chérie
hum yo mwasi kitoko pona nini obwakisi ngaai (obwakisi ngaa‘i)
yo mwasi kitoko pona nini obwakisi ngaai
Belinda maman.
Bahozi  katembo Dauphin company
Dieume Namfakage, Heritier Sepa
Maitre Arnold, Prezzo Dallas from Canada
Anifa Ba faussette, Fk SugarBoy

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Belinda (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

THE POWER TEAM MUSIC

CONGO (DRC)

The Power Team is a group of hip-hop and R&B musicians from the Democratic Republic of Congo, ev ...

YOU MAY ALSO LIKE