Hit Song Lyrics
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
Nina maboy wa kila kabila
Wakamba wajaka
Maboy mi hujenga na wengine mabratha
Wengine sugar mummy hujifanya mafather
Na wako na taste yangu na wengine no ladha
Usinishike bila doh
Mi ni bibi ya wenyewe
But ka uko na doh
Baby boo niko na nyege
Vajo ka Mary kam nikupeleke heaven
Kam baby kam ndani tupunguze nyege
Mchuzi mix mi huwaga sosi
Mi sipendi fare napenda vako za kidosi
Chunga chali yako si unajua mi ni mnaughty
Mi napenda chuma imetengenezwa na Doshi
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
Bibi ya mabwana zao
Mi nafanya wanambao
Nawakulanga mathao
Siku hizi hawalali kwao
Nawakorogaga kama wafuasi wa Ng'ang'a
Ikipigagwa sana napigaga nduru sana
Mzuri sana ukiuliza habari
Mambo moto sana si inakuwaga ni hatari
Usikam haraka si unajua ni safari
Si lazima kwa kitanda tunaweza fanya kwa gari
Ilale ndani ka vako za stenje
Si unikunje kunje kama design ya walenje
Usikule na pupa hata ka uko kinenge
Chunga paparazzi wanatembeaga na menje
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
Bibi ya mabwana zao
Mi nafanya wanambao
Nawakulanga mathao
Siku hizi hawalali kwao
Siku hizi hawalali kwao
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Vile we huipiga kama hitsong
Mi napenda vile hupiganga kama hitsong
Dj we icheze kama Hitsong
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Hit Song (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TALLIE
Kenya
Tallie (Born May 31, 1997) is an artist from Kenya signed under Taurus Musik. Tallie was signed ...
YOU MAY ALSO LIKE