Navimba Lyrics

Nimumunye nini?
Ing'ate ing'ate
Sukuma chini
Umate umate
Nyuzi tisini
Nitume nifuate
Nakesha kibindoni tamu
Ifuate ifuate
Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela
Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela
Twanga kama kokoto(Kikaaongoni)
Chezesha na kiboko(Yai nyoni)
Show zetu sio local(Vuka mtoni)
Pita chuchu kwa chuchu(Nipande kilimani)
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
Wataumia koo
Wanaoleta leta mizozo
Wambea wape kisogo
Tulimalize zogo, ooh yaye
Yawabo, yawaboa
Kunidekeza kitoto, yawaboa
Ni mchumba kisha ondoa
Kama madikodiko watakodoa
Pute najiwasha mwenyewe
Peke yako wanikosha mwenyewe iyo
Wanga wanaona gere
Wowowo
Twanga kama kokoto(Kikaaongoni)
Chezesha na kiboko(Yai nyoni)
Pita chuchu kwa chuchu(Vuka mtoni)
Show zetu sio local(Nipande kilimani)
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Twanga kama kokoto(Kikaaongoni)
Chezesha na kiboko(Yai nyoni)
Pita chuchu kwa chuchu(Vuka mtoni)
Show zetu sio local(Nipande kilimani)
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela
Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Navimba (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE