Walete Lyrics

Oh nah nah nah nah nah
Masauti, Sudiboy, Dj Deklack
Sema ah walete, leo walete
Tumejikoki kinoma
Ah walete, we walete
Bwana wewe usiwe na noma
Ah walete, leo walete
Tumejikoki koki eh
Ah walete, leo walete
Ayayayaya...
Kama full cheda yaani tu sawa, tu sawa
Kama ni sheshe watapagawa, pagawa
Yaani tuko full kikosi
Ona mwezi wa dosi yah yah yah
Mr Hennessy, Dj Deklack you my 001
Ayayayaya
Fanya hala hala sote tuko sawa
We ndo unachelewa yaani full kujiachia
Hadi umwage radhi
Sema ah walete, leo walete
Tumejikoki kinoma
Ah walete, we walete
Bwana wewe usiwe na noma
Ah walete, leo walete
Tumejikoki koki eh
Ah walete, leo walete
Ayayayaya...
Basi walete walete wote
Si mi ndio Kenyan Boy niko na Sudi Boy aya
Chocho kwa chocho mipaka yote
Waje wasokote ipepete, walete aya
Wenye kadhalika, kwenye meza yetu tumejazilika aya
Vichwa vimeharibika, hapa full sheshe hakuna kuziba aya aya
Weka pombe pombe, glass cheers tugonge vidonge
Aii steam steam zipande
Fanya hala hala sote tuko sawa
We ndo unachelewa
Yaani full kujirusha leo
Sema ah walete, leo walete
Tumejikoki kinoma
Ah walete, we walete
Bwana wewe usiwe na noma
Ah walete, leo walete
Tumejikoki koki eh
Ah walete, leo walete
Ayayayaya...
Walete, watoto wa Kisauni
Walete, kutoka Mombasani
Walete, walete walete
Walete, watoto malisafi
Walete, na pia wa Nairobi
Haiya haiya
Walete, walete walete
Walete, walete
Walete, walete
Walete, walete
Walete, walete
Walete, walete
Walete, walete
Walete, walete
Walete, walete
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Walete (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE