Home Search Countries Albums

Love ya Mtaa Lyrics

Au sio, au sio
Ni genje ni mbaya
Ndio manake
(Made in Kibera Productions)
Phlexible

[Stivo Simple Boy]
Wanauliza mtaa ntahama lini
Wanataka nihasi mtaa imenijenga mimi
Haiwezekani, hata sidhani
Wacha niwashow utam wa mtaa zetu ni gani

Utamu wa Kayole ni U-Khali
Ngoma zetu zinawashika kiserekali
Ukienda Dago huwezi toka Zzero
Mat za Ronga zipewe makofi ya kilo

Na roll kila mtaa like a boss
Stivo Simple Boy but bado nafloss
Kutoka Nairobi Mandera mpaka Coast
Hio ndio time ya kila mtaa kuboss

Number ni on top SimpleBoy on the spot
Dar es Salaam, Kigoma wako locked
Kampala, Rwanda tumewarock
Vibe ya mtaa sai ndo inatalk

[Chorus: Phlexible]
Uptown, downtown love ya mitaa
I make them feel love ya mitaa
Uptown, downtown love ya mitaa
Hii ni real love ya mitaa

[Chorus: Virusi Mbaya]
Utam wa mitaa si ku hama mtaa
Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto

[Virusi Mbaya]
Nairobi shamba la mawe reason wasee ni mastoner
So niko chini ya mwamba na usiniulize mbona
Hata Eastleigh siku hizi mi huingianga easily
Niko Mathare hauskii na-advice machizi G

Twende Thika tuone ka tutamake Kenya Mpya
Tumake mtaa ka Dubai hakuna cha chai dubia
Afadhali dubia lakini maboy wasichai
Wakiget high sana watapoteza uhai

Simple Boy tulia kuna wasee lazima wamedi
Kwanza we ni bro kam nikusetie mahedi
Zii zii mi sidai hio kitu
Mi hubeba masalt hata kama siko mavitu 

Line saba on top na Virusi will never stop
So wakidiss mama zao si tunabig up Addis Ababa
One Love mtaani tunakaa Nairo
So tunabig up wasee wote hadi wa Cairo

[Chorus: Phlexible]
Uptown, downtown love ya mitaa
I make them feel love ya mitaa
Uptown, downtown love ya mitaa
Hii ni real love ya mitaa

[Chorus: Virusi Mbaya]
Utam wa mitaa si ku hama mtaa
Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto

[Chorus: Phlexible]
Uptown, downtown love ya mitaa
I make them feel love ya mitaa
Uptown, downtown love ya mitaa
Hii ni real love ya mitaa

[Chorus: Virusi Mbaya]
Utam wa mitaa si ku hama mtaa
Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto

Bila nywele nafeel niko na peace
Upendo wa marafiki unanimake at this
Niko comfortable ni ka nakalia sofa
Love ya mtaa imenifikisha so far

Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto
Au sio, ndio maanake..

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Love ya Mtaa (Single)


Copyright : © 2020 Made in Kibera.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

STIVO SIMPLE BOY

Kenya

Stivo Simple Boy real name 'Stephen Otieno' ( born in 1990 in Oyugis, Homabay County)&n ...

YOU MAY ALSO LIKE