Home Search Countries Albums

Gwantana Lyrics


Cheki yeah zangu zimeshika zimegwantana
Zangu zimeshika zimegwantana
Sivutagi shisha au shada aah
Msupa akiitisha tu namkamata
Msupa akiitisha tu banana
Hakuna venye nitadai hapana
Akam na beshte yake wanafanana
Nikule niruke ka Lazarus

Beat ikikam mi ni murderer
Beat ikikam hii ni massacre
Kachumbari tena masala 
Mixture flani ya mabachelor
Floor ni chafu imeparara
Kusini mpaka huko Maralal
Unataka beef salama 
Nipate street mara that

Don't do happy funny bunnie clowns
Nani mkali hapa ndani mgani 
Keti basi nao all you rappers funny
Taste the freak around not the shiny clown
Never dummie down for the public

I keep it a hundred
I've been a G toka toka ABC's
Hommie please take the emphasis
Get to know what the difference is
Beetween you and I, I am so devilish
I just kick you with my fellowship

I know you really feel at melody
All my women gotta melanin
I just feel I get a better deal
Black kings be the membership
Outside boy fellowship ala

HR uko wapi niko wera
Flow ni tamu kama monterella
I'm just really getting fed up
This whole game is a set up

I just wanna get my bread up
Shout out Romano my fellow
Nina machizi masela
Toka Westlands mpaka Kiserian

Zangu zimeshika zimegwantana
Zangu zimeshika zimegwantana
Sivutagi shisha au shada aah
Msupa akiitisha tu namkamata
Msupa akiitisha tu banana
Hakuna venye nitadai hapana
Akam na beshte yake wanafanana
Nikule niruke ka Lazarus

Zangu zimeshika zimegwantana
Sivutagi shisha au shada aah
Msupa akiitisha tu banana
Akam na beshte yake wanafanana
Nikule niruke ka Lazarus

Zangu zimeshika zimegwantana
Zangu zimeshika zimegwantana
Zangu zimeshika zime aah
Zangu zimeshika zime aah
Zangu zimeshika zime aah
Zangu zimeshika zimegwantana

[Scar Mkadinali]
HR ufala utawashana
Hapa shada tunavuta zikifuatana
Wasupa  wakuje mapacha na
Siku hizi naskia wanapenda kulambana
Ama zangu zimeshika zimegwantana
Rap ni kipaji career ni hasara

Allah akitimiza ni Mashallah
Nyi mnaona giza tuna hahaha
Si ni mambuzi aah
Nyi ni mang'ombe enyewe
Ndo nimetoka remand juzi
Nataka shore nitoe nyege
Msupa mduli na duri

Nafanya yutman akuwe rembe
Hype inakuja ikirudi nabaki na wewe
Scarde uko wapi niko Dalla
Na flow ni tamu ka Shawarma
Kama ni yetu ni marwa
Ndio maana ukichezea kwetu utamarwa

Marapper siku hizi wana umama
Naskia wengine walifunguaga chama
Si tukikuja tunaifanya
Na hatutairecord kwa camera

Snitch alichocha 
Mob chief akadai nina siku mbili ya kwenda ocha
Jo alafu ngama anabonga juu ya catalogue
Siwezi gombana na mzae amechoka though
Jaduong -- 
Ni magoti zinakuuma ukapake rob
Haitaki hasira inataka raw
Jaba itasundwa nikienda international

Zangu zimeshika zimegwantana
Zangu zimeshika zimegwantana
Sivutagi shisha au shada aah
Msupa akiitisha tu namkamata
Msupa akiitisha tu banana
Hakuna venye nitadai hapana
Akam na beshte yake wanafanana
Nikule niruke ka Lazarus

Zangu zimeshika zimegwantana
Sivutagi shisha au shada aah
Msupa akiitisha tu banana
Akam na beshte yake wanafanana
Nikule niruke ka Lazarus

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Gwantana (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HR THE MESSENGER

Kenya

HR The Messenger aka  'Silenced Hippy' is an Award winning Rapper / Producer ...

YOU MAY ALSO LIKE