Accueil Recherche Pays Albums

Tembeza

SSARU Feat. BREEDER LW

Tembeza Lyrics

Moda

Leo kuna agenda Fulani nataka kuaddress tena sai hadharani
Tena nimejipa kibali sicheki na uyo mshenzi anadhani ni utani
Mi nimechukua usukani ila Karibu mgeni na ufeel uko nyumbani
Natamani nikupe samahani ila roho inakataa maana ni ngumu jamani
Kwanza,nianze na nani? Naskia kuna jamaa mahali Ana madem chwani
Tena wana sura funny funny nilimuona mwengine Anafanana kama nyani
Nimekuja kuwakilisha,chafu kama hizi mi ndio nasafisha
Ubaya ndio narekebisha maana huku kwenye street nimetamatisha
Kutisha natishaga daily kuitisha naitishanga baileys
Wembamba nilipata wa reli,mistari ina uzito wa train
Nahonda amepata iyo meli sa nikusail hadi tufike spain
Kijana akitupa kangeli rudi usome ju hapa utafeli

Joh ni kunoma
Tembeza Punguza pupa hapa utagangwa (buda tembeza)
Mbogi ni jamo Huru marui rui (te te te tembeza )
Utabakishwa na hatukujui jui (buda tembeza)
Joh ni kunoma
Tembeza Punguza pupa hapa utagangwa (buda tembeza)
Mbogi ni jamo Huru marui rui (te te te tembeza )
Utabakishwa na hatukujui jui (buda tembeza

Ukianza kuhate umelegeza mimi siko hapa kwa ajili ya kukupendeza
Najua mnataka kanyongeza, ila hamtaki kupongeza
Niko uwanjani napepeta yule ako pale namuona anapekecha
Yani kuna mambo yanachekesha, bado kuna watu wanakeketa
Tembeza mi huwa si fan wa kudekeza
Koleza tamu ikizidi naongeza
Mrazi akichoma anatembeza,usidhani uku ndani tunabembeleza
Yule anakuja kiundercover kumbe anakuja kupeleleza
Ah yeah,moda! Sumu ni kama ya chatu
Huku ndani Tuko kama watatu
Tamu ndio imekuwa chachu
Hata kama we ni mtu wa watu bana usisemage Siri za bafu
Nendeni mseme udaku,tembeza imefufua wafu

Joh ni kunoma
Tembeza Punguza pupa hapa utagangwa (buda tembeza)
Mbogi ni jamo Huru marui rui (te te te tembeza )
Utabakishwa na hatukujui jui (buda tembeza
Joh ni kunoma
Tembeza Punguza pupa hapa utagangwa (buda tembeza)
Mbogi ni jamo Huru marui rui (te te te tembeza )
Utabakishwa na hatukujui jui (buda tembeza)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Tembeza (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

SSARU

Kenya

Sylvia Ssaru (née le 19 mai 2002) alias «Saru wa Manyaru» est une chanteuse, aute ...

YOU MAY ALSO LIKE