Home Search Countries Albums

Kichwa Tu

SSARU Feat. TRIO MIO, TIMMY TDAT

Kichwa Tu Lyrics


Go down de ting juu mi ni pengting
Unataka stingo gani je unataka tyching
TTT, Ssaru, Kasabun
Aha, mkurugenzi

Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu
Haa, eeh kichwa tu
Ati tips kama waiter ah in kichwa tu
Haa, eh kichwa tu

Torture me inanitorture me
Magoli anafunga namwita kocha me
Ah fisi fisi poacher me
Nataka nikalie napenda sofa mi

Gethaa inasonga mnahitaji kujiachilia
Na naona ni ka mko mbali mnahitaji kukaribia
Ah unaipata bure hauhitajiki kuilipia
Mali ni safi na harufu inanukia

Wanacheki rangi tunaficha tu kwenye kona
Kuna modo flani anahakikisha tunazichoma
Wacha zimwouk ziwai corona
Kuna morio ilimshika akaseti na akapona

Go down de ting juu mi ni pengting
Unataka stingo gani je unataka tyching
Na tunaendana this is kinda my thing
Cheki your Whatsapp saivi nimedrop pin

Me na go down de ting msupa mi ni pengting
Unakuwanga  mali safi, hio mkwela vile unaswing
Kifo cha nyuki kula za baada ya kusting
Nmecheki your Whatsapp nakuja nimejipin

Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu
Haa, eeh kichwa tu
Ati tips kama waiter ah in kichwa tu
Haa, eh kichwa tu

Mi napenda stamina anataka mahinya
Ye husema nyama sio nyama ka nyama ni ya kima
Ametoka Umoiner anataka itina
Akinipa vitu huku ndani anazama kwa kina

Naigonga dakika, ka sixty ishapita
Msupa anabaki top cargo mzuka inachachisha
Stingo za Jackie chan, chizi ninakuwa kichaa
Hamna kubakisha sembe Mluhya anasafisha

Go down de ting juu mi ni pengting
Unataka stingo gani je unataka tyching
Na tunaendana this is kinda my thing
Cheki your Whatsapp saivi nimedrop pin

Me na go down de ting msupa mi ni pengting
Unakuwanga  mali safi, hio mkwela vile unaswing
Kifo cha nyuki kula za baada ya kusting
Nmecheki your Whatsapp nakuja nimejipin

Nipe nikupe design ya elClasico
Kabla nikufunge ni lazima nichenge stingo
Nduki ya mlunje ka Kadenge huskii jo
Navimba dude ka napekee fijo

Ubebwe kwa Uber na hata kuenda huezi fit
Nimeona panty najua kwa box huwezi fit
Usifinywe tao hivyo nina  ---

Go down de ting juu mi ni pengting
Unataka stingo gani je unataka tyching
Na tunaendana this is kinda my thing
Cheki your Whatsapp saivi nimedrop pin

Me na go down de ting msupa mi ni pengting
Unakuwanga  mali safi, hio mkwela vile unaswing
Kifo cha nyuki kula za baada ya kusting
Nmecheki your Whatsapp nakuja nimejipin

Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu
Haa, eeh kichwa tu
Ati tips kama waiter ah in kichwa tu
Haa, eh kichwa tu

Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu
Haa, eeh kichwa tu
Ati tips kama waiter ah in kichwa tu
Haa, eh kichwa tu

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Kichwa Tu (Single)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SSARU

Kenya

Sylvia Ssaru (born on 19th May 2002) aka 'Saru wa Manyaru' is s a Singer, Song writer, ...

YOU MAY ALSO LIKE