Raha Lyrics

A say brang'abang'abai
Eeeh le grand Slejj
(Vikypondis)
Nilitafuta tafuta raha
Nikadhani nitapata kwa mambo ya dunia
Yote niliyoyafanya bure
Kwangu kujigamba nikaja kugundua eyaa
Nilijiona, eh
Vile mi ni mutu mnoma, eh
Mivinyo nili, bonya eh
Ila Yesu kani, ponya eh
Shetani atu winda winda winda
Analeta shida shida shida
Lakini tuta shinda shinda shinda
Ju mwokozi atu linda linda linda
Shetani atu winda winda winda
Analeta shida shida shida
Lakini tuta shinda shinda shinda
Ju mwokozi atu linda linda linda
Kweli kweli nilipotea sana, sana
Ila baba kaniokoa sana eeh
Mimi kwako nina raha, kwako nina raha
Mimi kwako nina raha, kwako nina raha
Ningalijua, ninavyojua
Eti yote ni ya dunia
Na ya dunia, ni ka maua
Yote mwisho hupotea
Nilidhani mi hodari
Kuwacheza ki Arsenali
Wazungu na wahindi wasomali
Wa geti kali na ghetto hadi
Shetani atu winda winda winda
Analeta shida shida shida
Lakini tuta shinda shinda shinda
Ju mwokozi atu linda linda linda
Kweli kweli nilipotea sana, sana
Ila baba kaniokoa sana eeh
Mimi kwako nina raha eh, kwako nina raha
Mimi kwako nina raha eh, kwako nina raha
Kweli kweli nilipotea sana, sana
Ila baba kaniokoa sana eeh
Mimi kwako nina raha eh, kwako nina raha
Mimi kwako nina raha eh, kwako nina raha
Kweli kweli nilipotea sana, sana
Naye baba akaniokoa sana eeh
Kweli kweli nilipotea sana, sana
Naye baba akaniokoa sana eeh
Kweli kwako nina raha, kwako nina raha
Baba kwako nina raha, kwako nina raha
Kweli kweli nilipotea sana, sana
Ila baba kaniokoa sana eeh
Mimi kwako nina raha eh, kwako nina raha
Mimi kwako nina raha eh, kwako nina raha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Raha (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE