Vice Versa Lyrics
Lalala lalala
Lelele lelele
Imekwenda vice versa
(Teddy B)
Nakushukuru Mungu wee
Ewe Mungu wee
Nakushukuru Mungu wee
Nimeona mkono wako
Kama si wewe Mungu wee
Ewe Mungu wee
Kama si wewe Mungu wee
Singefika hapa nilipo
Nakushukuru Mungu wee
Ewe Mungu wee
Nakushukuru Mungu wee
Nimeona mkono wako
Kama si wewe Mungu wee
Ewe Mungu wee
Kama si wewe Mungu wee
Singefika hapa nilipo
Nilipopita kati ya uovuni
Wa bonde la mauti na kuzimu
Ulioniona Yesu
Nilipopigwa na maadui
Wakanishambulia
Uliniona Yesu
Shetani aliposimama
Ili anifanye mawindo
Ulinificha Yesu
Marafiki zangu walitabiri
Maanguko yangu
Umeniinua Yesu
Wewe Mwamba wangu
Wewe nguvu yangu
We amani yangu
Kimbilio langu
Msaada wangu watosha
Uhimidiwe Yahweh
Nakushukuru Mungu wee
Ewe Mungu wee
Nakushukuru Mungu wee
Nimeona mkono wako
Kama si wewe Mungu wee
Ewe Mungu wee
Kama si wewe Mungu wee
Singefika hapa nilipo
Nakushukuru Mungu wee
Ewe Mungu wee
Nakushukuru Mungu wee
Nimeona mkono wako
Kama si wewe Mungu wee
Ewe Mungu wee
Kama si wewe Mungu wee
Singefika hapa nilipo
Mbwa mwitu walipiga kelele
Nikaziba masikio
Nilikuona Yesu
Walipanga mipango ya uovu
Ili niangamie
Ukapangua Yesu
Mipango mawazo
Walionikusudia
Wamepanga umepangua
Imekwenda vice-versa
Mipango mawazo
Walionikusudia
Wamepanga umepangua
Imekwenda vice-versa
Tamaa, vice-versa
Uongo, vice-versa
Uchawi, vice-versa
Fitina, vice-versa
Masengenyo, vice-versa
Nimeshindaaa
Nakushukuru Mungu wee
Ewe Mungu wee
Nakushukuru Mungu wee
Nimeona mkono wako
Kama si wewe Mungu wee
Ewe Mungu wee
Kama si wewe Mungu wee
Singefika hapa nilipo
Nakushukuru Mungu wee
Ewe Mungu wee
Nakushukuru Mungu wee
Nimeona mkono wako
Kama si wewe Mungu wee
Ewe Mungu wee
Kama si wewe Mungu wee
Singefika hapa nilipo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Vice Versa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE