Utawale Lyrics
Kama unataka niende, nitaenda
Ah nitangaze neno la bwana
Na kama unataka niimbe
Mi nitaimba na nguvu zako wataona
Kama unataka niende, nitaenda
Ah nitangaze neno la bwana
Na kama unataka niimbe
Mi nitaimba na nguvu zako wataona
Kweli sijawai kupendwa
Kama vile unanipenda
Na hapa pale nimefika
Nasema we ni Ebenezer
Halle, Halle, Halle, eh eh hallelujah
Utawale, halle, halle, eh eh hallelujah
Your mercy, your glory your blessings
Ni designer sijawai ona
I got no worries hata bila money aah
Niko shopping, coz you never stopping
Kweli sijawai kupendwa
Kama vile unanipenda
Na hapa pale nimefika
Nasema we ni Ebenezer
Halle, Halle, Halle, eh eh hallelujah
Utawale, halle, halle, eh eh hallelujah
Halle, halle, eh eh hallelujah
Utawale, halle, halle, eh eh hallelujah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Utawale (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE