Home Search Countries Albums

Ama?

SHIKAMORE Feat. SWAT

Ama? Lyrics


Ka ni mingi pyenga mi hushikanisha
Mingi pyenga mi hushikanisha
Ka ni mingi pyenga mi hushikanisha
Mingi pyenga mi hushikanisha

Kitu iko kitu, ama ama ama ama?
Manzi ameiva, ama ama ama ama?
Najua anaiva, ama ama ama ama?
Ni maryjane, ama ama ama ama?

Aiyaya aiyaya, aiyayayayayaya
Aiyaya aiyaya, aiyayayayayaya
Zimeripoti, kweli kweli kweli
Aiyaya aiyaya, aiyayayayayaya

Kitu ni kitu kitu iko kutu
Namwomba kitu ananishow niko mavitu
Na vile ako fiti jo rada ni fiti
Leo ni ile siku, siku mavitu

Sai ni 4 imebakisha mbao nikuwe ritho
Kika ni Paul bana nakama kama Geecko
Ni wa Ngong ni ka anaona milima
Na hio form ilishika ju alizima

Hii ni rehab cheki G take your bag na ki G bag
Addi teacher cheki Shee si debe ata amejipa
Ah leo ni seree niko veire
Leo naona ka naona mbele mbele

If you hate it let it fade 
Aii jo hadi neiba leo atapenda makelele
Leo ni seree, leo nitateka ah

Kitu iko kitu, ama ama ama ama?
Manzi ameiva, ama ama ama ama?
Najua anaiva, ama ama ama ama?
Ni maryjane, ama ama ama ama?

Una mchele lakini bado anauma nje
Vako za kunyonga buda sare na umarry
Siku hizi hajaiva jo alichapwa kimbokta
Mali ka ni safi huwezi kuchoma
Mali ka ni chafu naeza kuchoma
Mali ka ni chafu choma hata donga 
Mi hukemwa na werevu na siphon ya wajinga
Ni ka niko mavitu sijui nipige nduru

Kitu iko kitu, ama ama ama ama?
Manzi ameiva, ama ama ama ama?
Najua anaiva, ama ama ama ama?
Ni maryjane, ama ama ama ama?

Genge wasafi meza naichafua
Ni hasla babi mtaa wanitambua
Vidole nono naeza irarua
Sidai namba nitatumia barua

Unafaa vile inafaa na mi ma unanitia kichaa ah
Akili unanitulizanga naskia raha nimeku- furaha ah
Mali safi yaani clean property
Naspend on you siongopi poverty
Unacause distraction, unachukua attention
Madication meditation staki kukimention
Unakaa poa hata ukiwa umesimama
Ukipita mjengo kazi inasimama
Msupa wangu nitajiekea lawama
Ka ni Sepetu sitatenda Wema

Kitu iko kitu, ama ama ama ama?
Manzi ameiva, ama ama ama ama?
Najua anaiva, ama ama ama ama?
Ni maryjane, ama ama ama ama?

Aiyaya aiyaya, aiyayayayayaya
Aiyaya aiyaya, aiyayayayayaya
Zimeripoti, kweli kweli kweli
Aiyaya aiyaya, aiyayayayayaya

Ni kipyenga wacha nikilandi
Pyenga acha nikilandi
Ni kipyenga wacha nikilandi
Pyenga acha nikilandi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ama? (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SHIKAMORE

Kenya

Shikamore is a music duo from Kenya made up of Gabu Shifu and Ongwen. ...

YOU MAY ALSO LIKE