Home Search Countries Albums

Hatufanani

SHETTA Feat. JUX, MR BLUE

Hatufanani Lyrics


[INTRO]
Kimambo on the beat
Ooohhhh Shetta Shetta
Yah Baba Kayla (Kaylaa)
You know what it is baby (okey)
Skiza!

[VERSE 1]
Eyoo elimu ya mjini ndo imenitoa bench
Na game na lisakata kama vita haviniwezi
Sina nyendo za pupa, kuhustle nisha graduate
Am the man tena super, kwa kuchakachua cash
Good time kila siku mara nyingi ziko bank
Balance kama manga hazinivuki hizi rank
Kuogopa na kushoboka sawa na kujitia doa
So fala kwa mamiko ukisimamia show

Homeboy
Ngumi za nini ujanja kumake doh
Of course shatta to shatta zaidi ya kumake show
Napojaribu nikifeli ujuwe nina plan B
Na plan B isha chunga mila ni pipi mpaka debi

Masaa yake elfu tisa mia tisa tisini na tisa
Makolo wabaki  wao tu manyoka kibisa biso
Ujinga kabisa
Nina expose ya maisha, I can push
Pushi la kuvuta na siri (kwani)

[CHORUS]
Wanataka kufanana  hatufanani nao
Habari  zetu wanazo  hatuzijui zao
Story zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
Oooooh oooh...
Wanaforci tufanane nao
Oooooh oooh...
Hatutaki kufanana nao (beiby)


[VERSE 2]
Wako merry ooh kwa club
Wanalewa wanayumba
Star niko sites najenga majumba
Kisha jua unachagua Vuitton au vumba
Nimekua nishajua Mungu sio dumba

Bitch be humble, less kwa kimada
Hujui kukatika basi changia hata mada
Rider wa deal cheki ibada
We go harder!
Chilling with bling bling star
Kama Gucci and Prada
Mpaka mkiniona msemee (shikamoo baba)
Heeh yeah
I give some more dada
Oldskul kama vile Peter more brother
Change style, huwezi change roho saba
Mdudu wrong shada, dada sugua gaga
Huwezi iweka hapa
Me na haba na haba na haba haba nimejaza kibaba

[CHORUS]
Wanataka kufanana  hatufanani nao
Habari  zetu wanazo  hatuzijui zao
Story zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
Oooooh oooh oooh...
Wanaforci tufanane nao
Oooooh oooh Oooh...
Hatutaki kufanana nao (beiby)


Wanataka kufanana
Hatufanani nao
Habari  zetu wanazo
Hatuzijui zao
Story zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
Oooooh oooh...
Wanaforci tufanane nao
Oooooh oooh Oooh...
Hatutaki kufanana nao(beiby)

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Hatufanani (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SHETTA

Tanzania

SHETTA, born Nurdin Bilal Ali on July 16, 1990 in Dar es Salaam, is a musician from Tanzania. He gre ...

YOU MAY ALSO LIKE