Zimenyanya Lyrics
Aaah, yeah yeah
Maddox aah, ki Shawboya hiki
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Ka ni emoji hapa biriganya
Ka ni county hapa Kirinyaga
Vile tunaseti nitakupiga nyaga
Zimeshika cheki vile zimenyanya
Anadai jo nimpige randa
Anadai tu nimpige mababa
Niko hapa mkuruweng na kishada
Ninabeba tu kapeng ni kamada
Ai ninavuta mashada zangu zimeshika
Cheki bongolala na shatta aah
Nimechizi zangu zimelipuka
Niko jaba na kiwada cheki zimeniua ah
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Gang gang - gang gand
Are you mr delereng --
Unapenda miti ama umeshiba
Leo benita that I wanna meet her
Rita sela sia misa
Nitakupiga miti utaitisha
Na mbichwa utariririma
Penda usipende si cha lazima
You never thought I got new Benzima
And I ask her baby what do you want?
She want parte after parte
I call B to bring me banje
-- to bring me coco,
Maddox give them the majic
Dj increase the volume we want to party
We want to party
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Niko fiti hapa niko cheeky
Nikucheeky picky picky ticky
Ati zile za watoto wamependa mamiti
Vile wanakula vijiti
If you -- carry go
For this party -- everything good to go
I go knock on you self go knockout
Because I don't zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Aaah zimenishika wewe
Cheki bro bana zimenyanya
Mmmh zimenishika wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Zimenyanya (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE