Home Search Countries Albums

Niko Bien

SAT-B

Niko Bien Lyrics


Eti Siku hizi nangangana
Ukiniona unaficama
Jina langu likitajwa unashtuka
Presha inapanda unaanguka
Una anguka wazimia
Mtaani wanashangiliya
Wengi wao uliwaoneya
Na maisha yao kuwa haribia
Nilimuomba mungu mi hekima
Akanijalia akaniazima
Sasa nina deal na watu wazima
Don’t Panic pindi unapo niona

Nipe wire wire
Nipe wire wire
Niseme nao nao
Ni deal nao
Nipe wire wire
Nipe wire wire
Niseme nao nao
Ni deal nao
Ni Satura
Mbona Niko Bien
Maisha mafupi
Aca niwe bien
Le Marechal
Mbona niko bien
Oui le King
Mbona niko bien

Kale katoto ka jana
Kale katoto ka juzi
Kanajifanya kamekuwa
Hakana adabu
Hakana heshima
Kale katoto ka jana
Kale katoto ka juzi
Kanajifanya kamekuwa
Hakana adabu
Hakana heshima

Ukinita mbwa
Ukinita Dogo
Ukinita Doggy
Yote pOa tu
Hayo ni maneno
Nyuma hayanirudishi
Kama unavo juwa
Kwanza haunilishi
Baba badi eeh
Baba badi eeh
Wambiye wadau wangu wasitishike
WaSiridhike washughulike wazitafute
Wajilinde Na ma dharau
Kamwambiye mama kama bado
Mapambana bado najituma
Japo wana bana
Ukiwaona masela wangu waku bata
Uwambiye Asalam Alеykum
Maisha mserereko
Juzi alipata yulе
Jana nikapata mimi
Kesho itakuwa wewe
Don’t worry

Nipe wire wire
Nipe wire wire
Niseme nao nao
Ni deal nao
Nipe wire wire
Nipe wire wire
Niseme nao nao
Ni deal nao
Ni Satura
Mbona Niko Bien
Maisha mafupi
Aca niwe bien
Le Marechal
Mbona niko bien
Oui le King
Mbona niko bien

Kale katoto ka jana
Kale katoto ka juzi
Kanajifanya kamekuwa
Hakana adabu
Hakana heshima
Kale katoto ka jana
Kale katoto ka juzi
Kanajifanya kamekuwa
Hakana adabu
Hakana heshima

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Romantic Sounds (Album)


Copyright : © 2020 Empire Avenue


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

SAT-B

Burundi

BIZIMANA ABOUBAKAR KARUME (born 7 December 1988), popularly known by his stage name SAT-B is a Burun ...

YOU MAY ALSO LIKE