Home Search Countries Albums

Niloweshe

SARAH K

Niloweshe Lyrics


Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe

(Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe
Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe

Roho mtakatifu
Niloweshe
Kwa maombi na kufunga
Niloweshe
Nisipungukiwe
Nisije nikakauka
Nakoumba roho
Niloweshe

(Niloweshe
Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe)

Roho mtakatifu
Niloweshe
Kwa upako wako
Niloweshe
Nisipungukiwe
Nisije nikakauka
Nakuomba roho
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Kwa ushirika wako
Niloweshe
Nisipungukiwe
Nisiji nikakauka
Nakuomba roho
Niloweshe

(Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe
Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe
Niloweshe
Niloweshe
Roho mtakatifu
Niloweshe
Niloweshe
Nakuomba roho
Niloweshe)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Niloweshe


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

SARAH K

Kenya

Sarah K is a Gospel musician from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE