Ulisema Lyrics

Moyo wangu una shauku
Ya furaha yako Mungu
Usiye na kinyongo
Naomba uturehemu
Kama wana wa Israeli
Baada ya taabu jangwani
Hiyo raha ya kwenda Canaan
Ndio natamani
Ulisema utanijenga
Na kuiponya nchi yangu
Oooh eeh
Jithihirishe tukuone
Ulisema utanijenga
Na kuiponya nchi yangu
Oooh eeh
Jithihirishe tukuone
Naomi akitoka Moabi
Baada ya jeraha la moyo
Akasema aitwe Mara
Kwa uchungu alioupata
Eeh Mungu mponyaji
Iponye nchi yetu
Maana tuna majeraha moyo
Magonjwa mafuriko na njaa
Ulisema utanijenga
Na kuiponya nchi yangu
Oooh eeh
Jithihirishe tukuone
Ulisema utanijenga
Na kuiponya nchi yangu
Oooh eeh
Jithihirishe tukuone
Kilicho mwanzo kina mwisho
Hivyo ndivyo walisema
Na pia kuna tumaini
Baada ya mti kukatwa
Mti huo ukikatwa
Unapata kuchipuka
Tena na kilicholiwa na nzige
Utalipa mia kwa mia
Ulisema utanijenga
Na kuiponya nchi yangu
Oooh eeh
Jithihirishe tukuone
Ulisema utanijenga
Na kuiponya nchi yangu
Oooh eeh
Jithihirishe tukuone
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ulisema (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SALOME WAIRIMU
Kenya
Salome Wairimu (10 years old ) is an artist from Kenya. She rose to fame after her song 'Ja ...
YOU MAY ALSO LIKE