Home Search Countries Albums

Tiki Tiki Lyrics

[Intro: Sergeant Nyakundi]
Aii hii ni kali kweli, hehehe
Gengetone imeamua kwenda Mexico
Imezunguka Algeria
Imekuja mpaka sasa Kenya, hehehe
Big up wazito wote wa Genge
Walikuwa wakisema Gengetone itaenda mahali
Sasa Gengetone imeanza kusema(Hahahaaaa)

[Chorus: Prince Amani & Samaki Mkuu]
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

[Verse 1: Romantico]
Atiki Tiki Tiki ndiyo style imekam
Atiki Tiki Tiki ndiyo dance imewom
Wapi wagenge huku wamekam
Wapi madem huku wamejam

Hii dance imetoka Majolo
Wala si akina Wanjooro
Tiki Tiki imetoka Veracruz
Na imefika Kenya bila marules

Dance ya maboy, dance ya madem
Watoto hadi mahustla
Dance fiti, siki fiti fiti
Ukiketi, yaani Tiki Tiki

[Bridge Prince Amani & Romantico]
A Tiki Tiki Tiki Tiki there – Tiki-taa
A Tiki Tiki Tiki Tiki there – Tiki-taa
A Tiki Tiki Tiki Tiki there – Tiki-taa
Dance fitifiti, yaani Tiki Tiki

[Chorus: Prince Amani & Samaki Mkuu]
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

[Verse 2: Samaki Mkuu]
Hii ni Gengetone imefika nchi
Sauti yake imeanza kuzidi
Geto mu-si-ache mamanzi
Kutoka barani hadi pwani

Dance hii itawafurahisha
Kenya, U-G na Tanzania
Ukiketi anza kusimama
Mwili wako utatetemeka

Oh, klabu imeshika
Sababu tumefika
Ilihitajika
Sisi Waafrika pamoja pamoja

[Bridge: Prince Amani & Gabzo]
A Tiki Tiki Tiki Tiki there – rada
A Tiki Tiki Tiki Tiki there – rudi
A Tiki Tiki Tiki Tiki there – hey yah
Dance fitifiti, yaani Tiki Tiki

[Chorus: Prince Amani & Samaki Mkuu]
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

 
[Verse 3: Romantico]
Baila Tiki Tiki, Cheza Tiki Tiki
Oye que la nena como quiere el Tiki Tiki
Baila Tiki Tiki, Cheza Tiki Tiki
Mira que la nena como quiere el Tiki Tiki

Mira como haciendolo
El ritmo que lo esta poniendolo
Esto que te esta gustando
Y la gente lo esta bailando

Pala gente que lo bailan yal
Pa los chicos que lo bailan yal
Pa las nenas que lo bailan yal
Muevete, muevete, bailan yal

[Bridge: Samaki Mkuu]
Oh, klabu imeshika
Sababu tumefika
Ilihitajika
Sisi Waafrika pamoja pamjoa

[Chorus: Prince Amani & Samaki Mkuu]
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)
Cheza Tiki Tiki Boom Boom (Cheza)

[Outro: Sergeant Nyakundi]
Hii ni kali sana hii yaani, hehehe
Big up nyanya yangu
Alisema sitaienda studio
Saa hii niko na Rukuz 
Tumemaliza kazi
Kata, kata Rukuz
Kata Rukuz
Kata, kata, kata

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Tiki Tiki (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ROMANTICO

Kenya

The Romantico, whose real names are  Edgar Manuel Vargas Gallegos, is a reggaeton artist based ...

YOU MAY ALSO LIKE