Utayakumbuka Lyrics
Sijui ni pasa na USO sababu
Wakati akili yangu kwenye zamu
Mapenzi ya kitoto kisha kina Zama
Bora basi tuachane tuzibe kisima
Mapenzi ya kitoto na tena sio ndoto
Uwe mbali naona Moto kama Mtoto na hisi joto
Mapenzi ya kitoto na tena sio ndoto
Uwe mbali naona Moto kama Mtoto na hisi joto
Akuna asiyejua kwamba nilikupenda
Maishani yangu nikakata sitakutenga
Kama maua baby nilikufadhii nilikuamini moyoniii...mmmm
Oh nanana...Utayakumbuka
Oh banana..Ninajua baby
Oh nanana...Utayakumbuka
Oh banana...Ninajua baby
Nusu ukute watu uwafanye wao marafiki
Ndiposa simu zangu upokee kama shabiki
Ujumbe fupi nalo tuma wala haifiki
Nikibonyeza simu mteja haisikiki
Kwani nikipi niloyatenda naomba nijue
Kama iwapo shida keti chini tusemezane
Anywa chai kisha basi tuongelee
Kama maji kwenye bahari tuogelee
Mapenzi ya kitoto na tena sio ndoto
Uwe mbali naona Moto kama Mtoto na hisi joto
Mapenzi ya kitoto na tena sio ndoto
Uwe mbali naona Moto kama Mtoto na hisi joto
Akuna asiyejua kwamba nilikupenda
Maishani yangu nikakata sitakutenga
Kama maua baby nilikufadhii nilikuamini nikakuamini
Oh nanana...Utayakumbuka
Oh banana...Ninajua baby
Oooooh
Dedication to Treezer
Renny Bleezum
Danaco media production
Produced by Kenny Genius
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Utayakumbuka (Single)
Added By : Kevin Ochieng
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE