Home Search Countries Albums

El Shaddai (Cover) Lyrics

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai 

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai

He's an awesome God 
Amenipa such an awesome song 
And I'm never lonely 
Amenipa such an awesome love 
He's an awesome God 
And I wanna tell it to the world 
Ili wajue ni wewe 
Kama si wewe basi nani?

Naskia landi-lodi ako kwa njia anataka kodi 
Ni wewe utaprovide 
Na nina ngori moyoni zinanijaza worry 
Ila nitakua fine

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai 
El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai

Everyday everyday is an awesome day 
Vile unanibariki hata mimi sielewi 
Everyday everyday you come through in an awesome way 
Kwenye dhiki nimepata rafiki, rafiki wa kweli 

Na kuna ka-loani mahali kananijaza worry 
Ni wewe utaprovide 
Nina mahari natamani kulipia mpenzi 
Sote tutakua fine
 
Na madakitari wanasema hali sio hali 
Wewe unajua time 
Nahisi nguvu zako kwangu 
I will call you El Shaddai

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai 

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai El Shaddai

Dear Lord
Grant me the serenity
To accept the things I cannot change
The courage to change the things I know I can
And the wisdom
To know the difference

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai 

El Shaddai 
Uko na kile mi nadai 
Ulinipenda hata kama mi sifai 
El Shaddai El Shaddai El Shaddai

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : El Shaddai (Cover)


Copyright : (c) 2020 Redfourth Chorus.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

REDFOURTH CHORUS

Kenya

Redfourth Chorus is a music band and an academy from Kenya. Its also Africa's greatest chil ...

YOU MAY ALSO LIKE