Vumilia Lyrics

(Its Bob Manecky)
Niwe kibatari
Ama mwanga wa mshumaa
Kwenye kigiza cha jioni
Nikagonga ngangari
Tulishushie na dagaa
Ukishatoka sokoni
Kisha tufunge safari
Itayochukua masaa
Utokwe jasho mgongoni
Na venye nina machachari
Nikikushika kibaa
Utamu hadi kinondoni
Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini?
Sina mbele sina nyuma masikini
Chakula shida na tunalala chini, niambie
Mmh, wenye mapesa vogi na ma-Lamborghini
Wasije fanya ukanipiga chini
Bado nawaza hivi nitakupa nini, utulie
Sambusa, kachori, pamia eh(Aaah)
Tukipata pesa ni sangara
Mchicha, mtori, pamia eh(Aaah)
Kama tukikosa tunalala
Kwa hiyo mama usijali
Vumilia, iyee, vumilia
Iye iye vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Vumilia, vumilia
Vumilia, vumilia
Vumilia kesho
Tutapata mapenzi
Najua unatamani high waist, make up
Weaving za Dubai na China
Ule pamba nyepesi setaa
Chain ya dhahabu yenye jina
Oooooh, basi mama vumilia
Nakupigania mpenzi subiria
Oooooh, acha kujiinamia
Punguza kulia atatusaidia
Ati mapenzi si moyo, mapenzi ni pesa
Kama kweli masikini yatatutesa
Uchoyo, usinipe pressure
Naomba unipende
Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini?
Sina mbele sina nyuma masikini
Chakula shida na tunalala chini, niambie
Mmh, wenye mapesa vogi na ma-Lamborghini
Wasije fanya ukanipiga chini
Bado nawaza hivi nitakupa nini, utulie
Sambusa, kachori, pamia eh(Aaah)
Tukipata pesa ni sangara
Mchicha, mtori, pamia eh(Aaah)
Kama tukikosa tunalala
Kwa hiyo mama usijali
Vumilia, iyee, vumilia
Iye iye vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Vumilia, vumilia
Vumilia, vumilia
Vumilia kesho
Tutapata mapenzi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Flowers/Vumilia (Album)
Copyright : (c) 2020 Wasafi Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
RAYVANNY
Tanzania
Raymond Shaban Mwakyusa (born 22 August 1993), better known by his stage name Rayvanny, is a Tanzani ...
YOU MAY ALSO LIKE