Sabu Lyrics

Tuko namwangalia na mbali
Kama my music ka itampeleka ka fashi
Kama lishushi tutakagombanisha
Na ile mamilio ya ma v yake ya gwivi
Pengine asema ni malawa
Asema ni reve, watu hawamjui
Ati ananivo
Pengine asema ni malawa
Asema ni reve, watu hawamjui
Ati ananivo
Mnasahau kenye Mungu analetega
Mnasahabu seke ya maisha ni kutumika
Mnasahabu vile vyote mlisemaga
Kendiko naletaleta ni shida ilivyowaka
Mnasahau kenye Mungu analetega
Mnasahabu seke ya maisha ni kutumika
Mnasahabu vile vyote mlisemaga
Kendiko naletaleta ni shida ilivyowaka
Tumika kazi yako na roho moja
Kuna siku kazi yote inalipaga
Usisikie ya watu angalia Mola
Jua ya leo ya kesho umwachie Mungu
Walisema hutaolewaga
Kazi hutapataga
Utabaki kuhangaika
Utabaki masikini
Walisema hautaolewaga
Kazi hutapataga
Utakuwa ka omba omba
Leo tuko wapi?
Mnasahau kenye Mungu analetega
Mnasahabu seke ya maisha ni kutumika
Mnasahabu vile vyote mlisemaga
Kendiko naletaleta ni shida ilivyowaka
Mnasahau kenye Mungu analetega
Mnasahabu seke ya maisha ni kutumika
Mnasahabu vile vyote mlisemaga
Kendiko naletaleta ni shida ilivyowaka
Ni miye yule yule
Walisema akanipa bure
Nitabaki hapa mpaka vile
Shibobale mpaka pale
Ni miye yule yule
Walisema akanipa bure
Nitabaki hapa mpaka vile
Shibobale mpaka pale
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sabu (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE