Ni Fanane Na Wewe Lyrics
Nili ambiwa kosa si kosa kosa niku rudiya
Tena nichunge sana marafiki wanao penda dua
Wokovu ni ku chagua kwenda mbinguni ama dunia
Tena imani ku shikiliya bila ku jali wanavio sema
Tena imani huja kwaku sikiya ku sikiya neno
Neno hu ondowa ku changanyikiwa maana Yesu ndio kweli yote
Oooooh tena Usima wa bure
Ni fanane eeeh naomba ni fanane eeh
Nifanane nawe Yesu
Shika mkono wangu mawimbi nimengi hapa
Natamani uwe rafiki yangu onyesha njia nda fata
Nifunze marasaba sabini ni wa samehe
Hata wale wasiyo amini ni wapende
I wanna be so close to you niwe mwanafunzi wa karibu
Gizani ni fanye nuru sitaki ni ku tiye haibu
Tena imani huja kwa ku sikiya na kusikiya neno
Neno hu ondoa ku changanyikiwa maana Yesu ndio kweli yote
Ooooh tena usima wa bure eeeeeeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Ni Fanane Na Wewe (Single)
Copyright : Copyright (C) 2019 Ps.Jackes Chikuru
Added By : Ps.jackes Chikuru
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE