Nipe Sababu Lyrics
Whoaa, yeah
Mashosti na majirani wametupaka rangi
Wanazo habari ulizoweka siri
Badala ya wasiwasi, ungeliweka wazi
Haya maji yatazoleka kweli
Kuna jambo linanipa wazo baby
Kulichokufanya kunigeuka mimi
Maneno yao yananitatiza baby
Lakini bado upo moyoni
Nitaweza?
Msamaha, nitaweza?
Nitaweza?
Aibu hadharani, nitaweza?
Nipe, nipe sababu
Nipe, nipe sababu
Nipe, nipe sababu
Nipe, nipe sababu
Sikati tamaa
Ila majonzi mi wamenijaa
Ata iwe aje baby wewe ndio unanifaa
Hisia zangu zabaki Na wewe
Tumaini bado kwako
Nitaweza?
Nitaweza?
Nitaweza?
Oooh nitaweza?
Nipe, nipe sababu
Nipe, nipe sababu
Nipe, nipe sababu
Nipe, nipe sababu
Mapenzi, sioni kosa lolote
Forever you are my baby yeaah
Mpenzi, Sikupendi juu ya chochote
Na bila masharti yeaah
Love Is Unconditional
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Gifted (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE