Accueil Recherche Pays Albums

Moyo Wangu

PATRICK KUBUYA

Read fr Translation

Moyo Wangu Lyrics


Moyo wangu usi lie tena
Moyo wangu usi babaike
Unaye mungu mukuu sana
Unaye mungu muweza wa yote
Aliingia roho mwangu, kanipa utulivu
Ka niambia ewe mwanangu usi lie tena
Aliingia roho mwangu, kanipa utulivu
Ka niambia ewe mwanangu usi lie tena
Nina juwa shida zako, mimi nita zi tatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu bure

Kati giza Yesu mwanga wangu
Kati huzuni Yesu ni mu fariji
Kati vita Yesu mwanga wangu
Katika njaa Yesu mkate wa uzima
Yesu kimbilio hajawahi kuni acha
Yesu mwamba wangu mahali paku ji ficha    
Yesu kimbilio hajawahi kuni acha
Yesu mwamba wangu mahali paku ji ficha    
Ana juwa shida zangu yeye ana zi tatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu bure

Aliingia roho mwangu, kanipa utulivu
Ka niambia ewe mwanangu usi lie lie tena
Aliingia roho mwangu, kanipa utulivu
Ka niambia ewe mwanangu usi lie lie tena
Nina juwa shida zako, mimi nita zi tatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Aliingia roho mwangu, kanipa utulivu
Ka niambia ewe mwanangu usi lie lie tena
Aliingia roho mwangu, kanipa utulivu
Ka niambia ewe mwanangu usi lie lie tena
Nina juwa shida zako, mimi nita zi tatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu bure

Ndani ya Kristo nina waka, tumaini langu    
Sijuwe bila wewe bwana wangu, ninge kuwa wapi
Ndani ya Kristo nina waka, tumaini langu    
Sijuwe bila wewe bwana wangu, ninge kuwa wapi
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh we ni yote kwangu

Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yaweh ninge kuwa wapi
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yaweh ninge kuwa wapi
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yaweh ninge kuwa wapi
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yaweh ninge kuwa wapi
Eh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yaweh ninge kuwa wapi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Moyo Wangu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

PATRICK KUBUYA

Congo

Patrick Kubuya est un artiste gospel du Congo, il est surtout connu pour sa chanson "Moyo Wangu ...

YOU MAY ALSO LIKE