Damu Yako Yenye Baraka Lyrics

Damu yako yenye baraka inayo tuosha makosa
Ilitoka msalabani, Bwana Yesu, ulipokufa
Nastahili ‘pata hukumu, na siwezi mimi kujiosha
Unioshe katika damu nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Yesu, ulivikwa miiba, kuangikwa juu ya mti
Ulivumilia mateso, maumivu na majeraha
Ninataka kijito hicho, n’ende na nikasafishwe sana
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Baba, kweli nina makosa, moyo wangu wa udhaiffu
Mimi mwenye dhambi rohoni nitaona wapi Mwokozi?
Yesu, kwako msalabani naja, ninakuamini sasa
Unioshe katika damu,, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Bwana, nimefika karibu, unilinde kwako milele
Ufungue kila kikamba, unijaze moyo mwenyewe
Na karibu ya msalaba nitakaa hata kufa kwangu
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli, safi, safi kweli
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Damu Yako Yenye Baraka (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
PAPI CLEVER & DORCAS
Rwanda
Clever is a Rwandan vocalist, quitarist, songwriter, producer and worship leader married to Dorcas ...
YOU MAY ALSO LIKE