Home Search Countries Albums

Machoche Lyrics


Morio afagiwe, morio achaiwe
Asunduliwe, asasuliwe
Aingizwe njeve ajinyore
Amezeshwe cheng' ndo akunyie
Aonyeshwe shang' ndo atulie
Kang'ethe akipass tunabullie eh
Ndula avuliwe, toja avuliwe
Bibi akuliwe, asiruhumiwe

Zama choche hepa dancey
Nikuzama choche na kuhepa dancey
Zama choche hepa dancey
Ni kuhepa dancey na kuzama choche

[Palma wa Vasho]
Niko ubri marengo na tiste
Dabo ngenje mjare kwa warena
Machaji morio mdagi kwa warosho
So mi hukam na bahasha si mashatta

Kuomoka ni kimbogi boskoni
Kang'ethe anajichaji gotta hommie
Pereka arif na rada mongo zimenafi
Kwa giz wanakawi

[Dullah Mkhalif]
Safisha basi na mbang'a
Chachisha basi na banger
Round one round 2, round zote unaweza fanya
Lalisha siri nalala, pandisha chizi madawa
Sound don, sound 2, sound doh utapeana father
Na ni nini jo unafanya na huyo sanse jo ako rada
Saksuliwa Susumila kesi za sensi mina
Nusu mita miezi tisa ama ndonyo ni ka utafika
Sukuma namba mi nahama tukutoke kwanza sawa
Ulilalisha na madawa na ukaanzisha malawama joo
Sai si ka kesho pia jo bro

[Seska]
Morio afagiwe, morio achaiwe
Asunduliwe, asasuliwe
Aingizwe njeve ajinyore
Amezeshwe cheng' ndo akunyie
Aonyeshwe shang' ndo atulie
Kang'ethe akipass tunabullie eh
Ndula avuliwe, toja avuliwe
Bibi akuliwe, asiruhumiwe

Zama choche hepa dancey
Nikuzama choche na kuhepa dancey
Zama choche hepa dancey
Ni kuhepa dancey na kuzama choche

Rongside umecross line
Utago offline utachange line
Utahate crime, utacurse life
Utacainwa na ma gas pipe

Kuna price utapay ukibackbite
Kuna pipe in the chamber ukistart pipe
Usitake kustain hio shirt white
Mi ndio cast hadi hapa am just right

Young don si ka trust anyone fck
Ndula ni silicon, when one is gone we no moarn
New ones born, usikanicross, usikaniforce
Nimevunja malaw, kuwapeleka loss huwa inborn
Walifunikwa, recover kabariang inadi na mariet
Tukidhani kabariang

[Dulla Mkhalif]
Mistari tu kusema na huna adabu ya marasta
Brathe ukihepa toroka fika wa kwanza
Na pale umebeba ketepa na pia fuaka
Nadhani umetepwa buda ni venye umenyanya

[Palma wa Vasho]
Kung'orana morio wangu nitakung'ora
Kam na mbogi niko zabe niko solo
Mi ni bazenga ni mahuru ni madingo
Rotejo morio wangu nganya ako mboka

[Seska]
Zama choche hepa dancey
Nikuzama choche na kuhepa dancey
Zama choche hepa dancey
Ni kuhepa dancey na kuzama choche

Zama choche hepa dancey
Nikuzama choche na kuhepa dancey
Zama choche hepa dancey
Ni kuhepa dancey na kuzama choche

Zama choche hepa dancey
Nikuzama choche na kuhepa dancey
Zama choche hepa dancey
Ni kuhepa dancey na kuzama choche

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Machoche (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PALMA WA VASHO

Kenya

Palma Wa Vasho is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE