Amezaliwa Lyrics
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
Amezaliwa
Twashuhudia
Dunia nzima
Twaburudika
Kanisa mashangwe zote zinaskika
Kwa keja manyamachoma zinaiva
Ukichelewa utazipata zimeisha
Harufu zinapotea na dirisha
Wadhiyo rego waduogane gimogo
Auchiel romo wasechielo kamongo
Luonguru nyithindo pamoja na jodongo
Hapa hakuna ojiko finya na mukono
(Christmas time)
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
En sikukuu wamore wamoke wacham rhumba eeeh
Mafoleni kwa mamoli watu wanapiga mashope
Jirani yako basi leo mkumbuke
Wewe ndo Santa wenzako we wagawie
Kama hujanauo basi leo utanauo
Rhumba ya mashinani imefika nairo
Popote itakupata hata kwa mtaro
Bora uhai wewe piga Erokamano
Wadhiyo rego waduogane gimogo
Auchiel romo wasechielo kamongo
Luonguru nyithindo pamoja na jodongo
Hapa hakuna ojiko finya na mukono
(Christmas time)
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
Kama hujanauo basi leo utanauo
Rhumba ya mashinani imefika nairo
Popote itakupata hata kwa mtaro
Bora uhai wewe piga Erokamano
Davina nyagem kathomo
Mercy Myra jangolo modhial ahinya
Cecil Bosslady nyar abella
Heavy J jalas mwenyewe baba
Oguyo guyo ramogi fm
Jayden wuo state house eeeh
Joho 001
Jose kongoloo
(Chants)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Amezaliwa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OKELLO MAX
Kenya
Okello Max est un chanteur, auteur-compositeur, interprète et artiste du Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE