Home Search Countries Albums

Oliel

OCTOPIZZO

Oliel Lyrics


Check check check! It’s anaother one

Mi ndo huanzisha na bado me humaliza
Mi ndo huwakisha na bado mu huwazima
Ambia Kenya power staki stima
Zangu geothermal huwezi zima
Floor ndani ya thermos siezi poa
Hizi hips sana bana
Hata wale washamba wa kushrub
Kuna venye hawawezi ng’oa
Najipenda sana siwezi oa
Mfanykazi kamewaka
Ni Ufanye Kazi mi si worker
Si trash lakini bado naitaka
Nikipanda stage wanaitana
Nikishuka wanajua nime imurder
Bila suti niko official
Mabao nyingi checki score board
maboa kibao no wonder wanachoka

[HOOK]
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kamewaka sana bana (bana)
Kamewaka sana bana (we lit)
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kamewaka sana bana (bana)
Kamewaka sana bana (we lit)

Ouh lalala
Hi raia bado naskia imedoz bana
Kurarara naskia nyinyi under-age hadi hamjatoboa kuvote bana
Ma politician wametugeuza machete
Venye huku kwa street daily wanatupanga
Manguruwe sana wanakika’anga
Big brother tangu nikue mchanga
So mi ni E-sir wewe ni Habib na Manga
Villaroka, Villarossa! Kempisiki na si sijiskii route MC
uliza Shinski eh Ni mimi pekee
Victoria boy design mi huuza hizi samaki
Wanadai siku hizi mi ni selfish
wanasahau nikiwa stage latenight
Nikipiga show, Wao walikuwa pale chini wakipiga
Maselfie hauko sure shika njefi
Fifty fifty hadi ubleki
Na bring back C, na move forward
Ambia promoter alete show man
Netflix, winter mi ndio snow man
Nitakuingia mi ndio door man
Ambia mabouncer wazidi juu
Mimi ndio niko na doo man

[HOOK]
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kamewaka sana bana (bana)
Kamewaka sana bana (we lit)
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kamewaka sana bana (bana)
Kamewaka sana bana (we lit)

Kasinuke oliel
Mama Genga eliel
Pile pile wamiyang
Pizzo de world uliza mwenye atakushow pizzo de Oliel
G.O.A.T mbuzi ni mi
….
Afande usinivunje sina noma
Niko lit sijachoma
Form gani, ziko bomas
Rada gani, sijaziona
Form 34 N pia hatujaziona
Uliza fire fighter watakushow Oliel
Uliza chief chef atakushow Oliel
Uliza pedi buda atakushow oliel
Ukijipata hell utatushow Oliel
8 town Gang gang

[HOOK]
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kamewaka sana bana (bana)
Kamewaka sana bana (we lit)
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kasinuke oliel
Kamewaka sana bana (bana)
Kamewaka sana bana (we lit)

8town maze jo! Bana yaani
Usiwahi pima usiwahi pima yaani
Haimake sense kama mvuvi akisema
 Yeye ni mselfish
Cheza chini buda
It’s another one

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Oliel (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

OCTOPIZZO

Kenya

Henry Ohanga, commonly referred to by his stage name Octopizzo is an award winning, recording and pe ...

YOU MAY ALSO LIKE