Baridi Lyrics
Aah aah aah (Hii baridi eeh)
Aah aah aah (Hii baridi eeh)
Aah aah aah (The Storyteller eh eh eh)
Aah aah aah
Hii baridi ni mbaya ah ah
Hii baridi eh
Nimetetemeka ya kutosha
Kuja unikumbatie
Nimejaribu kahawa ah ah
Nikajaribu gauge
Najua ukikuja utafanya idissapear
Shida zangu si za doctor
Shida zangu si za vodka
Sema leo utatoka na mimi
Nitakungoja
Shida zangu si za doctor
Shida zangu si za vodka
Sema leo utatoka na mimi
Nitakungoja
Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe
Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe
Aah aah aah aah
Aah aah aah aah
Natamani lako joto oh oh
Natamani moto
Nimeteseka ya kutosha
Njoo unikumbatie
Nimejaribu blanketi
Moto kwenye fireplace
Najua ukikuja
Utafanya idissapear
Shida zangu si za doctor ah
Ama whiskey
Niambie utatoka na mimi
Nitakungoja
Shida zangu si za doctor ah
Ama whiskey
je niambie utatoka na mimi
Nitakungoja
Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe
Sema nijipange
Sema nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe, tujibambe
Ooh lord, oooh lord
Baby niambie...
Uko down uko ready
Njoo tuget busy
Uko down uko ready
Njoo tuget busy
Uko down uko ready
Njoo tuget busy
Uko down uko ready
Njoo tuget busy
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kitenge (EP)
Copyright : © 2021 Sol Generation
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NVIIRI THE STORYTELLER
Kenya
Nviiri the Storyteller (real name Nviiri Sande) is a Singer-Songwriter, Guitarist, Performer an ...
YOU MAY ALSO LIKE