Home Search Countries Albums

Kupedekale

NORTHLANDO Feat. EXRAY, FATHERMOH

Kupedekale Lyrics


Huyo msupa namdai nyoroka nyoro
Ngozi nasitai nyuma Atieno
Mbio Chemutai niite Njoroge
Rungu ya Masai, chi chi chi

Kupede kupede kupede kale
Hako kasupa kagani hio, kale
Mbese kanyama kakule na, kale
Chuta kahe ukagurukia kale

Piano pia nakagonga nakagorokia, wee
Waroro pia kuna venye wananikwamia aah
Wakembwe wakembwe ah, watekwe watekwe aii
Waseswe waseswe eeh, kalembe kalembe ndile

Ficha cha usiku kanashika
Nakapea miti kanashika
Shika shika shika maringicha
Napendaga mama kama ni mamacita

Go go  gaga
Si unajua ni nani baby hapa
Ukiniomba deni nitakulapa
Nikivuta bangi look ni rubber

Northlando lando, juu ya shash na ng'ango
Hapa stima zikizimwa si nitawasha candle
Mi ndo mpango wa kando na nadai sistako
Hapa mbuzi na landlord unakuja kimpango

Huyo msupa namdai nyoroka nyoro
Ngozi nasitai nyuma Atieno
Mbio Chemutai niite Njoroge
Rungu ya Masai, chi chi chi

Kupede kupede kupede kale
Hako kasupa kagani hio, kale
Mbese kanyama kakule na, kale
Chuta kahe ukagurukia kale

Dance pon the floor dis a banger and you know
Nikipiga show we dance pon our toe
Slow baby girl tingiza mmmh
Napendaga sana kikimbiza mmmh
Tupige sherehe tukiingiza mmh
Kameti kamote ka wakamba
Leo makwera naramba tamba
Hapa ni mangoko wanataga
Tumwagilie tuwache wakilamba

Ati Nimmoh siku hizi hukati kucha sere
Ati Nimmoh siku hizi huchomi picha sere
Aki Nimmoh unakuwaga kichwa sere
Natokeanga ka niko mambichwa sere

Sere, sere, sere, sere
Kupede kupede kupede ka
Wairimu jina lakini mkali
Mi bado mali kwa kick mi mkali
Mi hukata maji nikidance ka Padi
Kam tu na side ex twende hio party
Ruka ni ka unacheza kupedekale
Kuku ku kupedekale
Kuku ku kupedekale

Huyo msupa namdai nyoroka nyoro
Ngozi nasitai nyuma Atieno
Mbio Chemutai niite Njoroge
Rungu ya Masai, chi chi chi

Kupede kupede kupede kale
Hako kasupa kagani hio, kale
Mbese kanyama kakule na, kale
Chuta kahe ukagurukia kale

Wambo, Wambo ako cuffed
Njeri, Njeri ako cuffed
Maggy, Esther ako cuffed
Hadi kina Nyambu wote wako cuffed

Aki nimeboeka boredom fever
Aki nangojeka hadi zile bush bush wamefyeka
Salala Samantha ndio mateka
Nakupea kipopo makopo
Katogo kunyolo kongolo
Matoko na Congo madongo
Akong'po mathongo kasongo

Sipendi usoro mroro
Mathongo makonyo kudongo
Sipendi usoro mroro
Mathongo makonyo kudongo

Huyo msupa namdai nyoroka nyoro
Ngozi nasitai nyuma Atieno
Mbio Chemutai niite Njoroge
Rungu ya Masai, chi chi chi

Kupede kupede kupede kale
Hako kasupa kagani hio, kale
Mbese kanyama kakule na, kale
Chuta kahe ukagurukia kale

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kupedekale (Single)


Copyright : (c) 2021 Northlando


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NORTHLANDO

Kenya

Northlando is an Entertainment group  made up of of 5 members (Skittaz Skittaz, Nimoh, Danchez, ...

YOU MAY ALSO LIKE