Nisamehe Lyrics

Ulipost mateaser ukadata na mi
Ukani DM kwa Insta no biggie funny
Una zangu pigo za ki Insta ndo ukafire me
Upite- zetu mathmini
Nilitokea kukupenda kweli
Na sio kukuchezea
Nilitamani kukuambia ukweli
Lakini singekuwezea
Nikasema mi hodari hatari, unikubalie
Na tena nitakupa gari, aiye
Mi bado natapika mjini sina hata nini
Ningekuambia nini unielewe?
Naringia ka mjinga, mjini sina kitu
Amini niko te
Na kama nilikuudhi nisamehe, nisamehe, nisamehe
Nilikudanganya nikupate, nisamehe nisamehe
Na kama nilikuudhi nisamehe, nisamehe, nisamehe
Nikupatane kizembe, nisamehe nisamhe
Ulisababisha furaha ipotee
Bora msamaha nikuombe
Hizo tamaa za mote
My darling am sorry
Mapenzi ya maigizi
Najua haya yauma
Adhabu ya likizo
Mi usinipe peace hell nah
Zile showoff majumba na magari
Ningekupata vipi mi na hii hali
Ilibidi nifake my darling
Because I want yah
Mungu ni mmoja my dream will come true
Yatapita maisha ya kutegemea cha mtu
Na post na shela kumbe kwa shishi champu
Na kama nilikuudhi nisamehe, nisamehe, nisamehe
Nilikudanganya nikupate, nisamehe nisamehe
Nisamehe nisamehe, nisamehe nisamehe, nisamehe nisamehe
Nisamehe nisamehe, nisamehe nisamehe
Na kama nilikuudhi nisamehe, nisamehe, nisamehe
Nilikupataje kizembe, nisamehe
Nisamehe nisamehe, nisamehe nisamehe
Nisamehe unikubalie
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nisamehe (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NITHO
Tanzania
Nitho also known as Official Nitho is a singer, songwriter from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE