Home Search Countries Albums

Baby Hello

NEDY MUSIC Feat. SULTAN KING

Baby Hello Lyrics


Mi naamini mola amekushusha duniani
Malaika pekee utaenilinda maishani
Uzuri wako hata sijui ufanane na nani
Laboa wangu mumy
Mi naamini mola amekushusha duniani
Malaika pekee utaenilinda maishani
Uzuri wako hata sijui ufanane na nani ooh oh

Moyo wangu unaniuna nisipokuona
Naumia na sijui kwanini
Niamini we pekee nnae kupenda moyoni
Na nnae kuthamini
Moyo wangu unaniuna nisipokuona
Naumia na sijui kwanini
Niamini we pekee nnae kupenda moyoni
Na nnae kuthamini

Baby hello
Mwenye sura nzuri njoo
Huwa nakuita queen baby girl
Jua wee ndiyo wangee mchumba
Ndani ya moyo wangu weeh
Baby hello
Mwenye sura nzuri njoo
Huwa nakuita queen baby girl
Jua wee ndiyo wangee mchumba
Ndani ya moyo wangu weeh

Bado bado
Bado me nakuhitaji
Bado bado
Bado me nakuhitaji

Tusijali kuchekwa
Amini ipo siku nasi tutachekaa
Wambea wasikupe presha
Wameahidi penzi letu ku shusha
Tusijali kuchekwa, amini ipo siku nasi tutacheka
Wambea wasikupe presha
Wambea wasikupe presha
Wameahidi penzi letu ku shusha
Moyo wangu unaniuma nisipokuonz, naumia na sijui kwanini
Niamini we pekee ninakependa moyoni
Na ninae kuthamini

Baby hello
Mwenye sura nzuri njoo
Huwa nakuita queen baby girl
Jua wee ndiyo wangee mchumba
Ndani ya moyo wangu weeh
Baby hello
Mwenye sura nzuri njoo
Huwa nakuita queen baby girl
Jua wee ndiyo wangee mchumba
Ndani ya moyo wangu weeh

Nitulize, nitulize
Baby nitulize
Nitulize, nitulize
Baby nitulize mie
Nikumbate nikumbate eeh
Tufunge letu fungate
Nikumbate nikumbate unipate wee
Tufunge letu fungate

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Baby Hello (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NEDY MUSIC

Tanzania

Nedy Music is a recording artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE