Mfariji Lyrics
Ooh Baba
Mfariji mwokozi
Sina mwingine ninakuja kwakoo
Nisikie uniokoe
Katika wako nami niwe wako
Unapodhuru wengine
Na mini niwe katikati yao
Magoti kwako napiga
Baba naomba unisikie
Maana mapito mengi
Katika ninayopitia
Pasipo wewe eeh
Hakika mimi sitoweza
Usiniache adui nikahaibikaa
Uso wako uwekwangu
Mkono unishike
Nifunike mbawa zako unikumbatie
Mbavuni mwako na hakika mi niko salama
Mi naomba … usiniache
[CHORUS]
Niwe naweeeee naweee
Siku zote usiniacheee
Yesu nihaibike
Niwe naweeeee nawe
Siku zote usiniacheee
Yesu nihaibike
Eeehhhh… Usiniache nihaibike
Heiyeeeh…. Ohoowooo. Heeeey
Kwenye bahari ile ya galilaya
Ulimshika mkono
Petro alipotaka kuzama
Israel noa hooo
Hukuwaacha wateseke
Ulikumbuka agano
Ukawaokoa na mateso
Nikumbuke na mimi Yesu eeh hey
Maana mapito mengi
Katika njia ninayopitia
Pasipo wewe eh
Hakika mimi sitoweza
Usiniache kwa adui
Nikahaibikaaa
Uso wako uwe kwangu mkono unishike
Nifunike mbawa zako unikumbatiee
Mbavuni mwako nahakita
Mi niko salama
Mi naomba usiniacheeee
[CHORUS]
Niwe naweeeee naweee
Siku zote usiniacheee
Yesu nihaibike
Niwe naweeeee naweee
Siku zote usiniacheee
Yesu nihaibike
Usiniache Baba
Baba yangu
Usiniache Baba
Mwokozi wangu
aaaaaah aaaaaa
Aaaaaah aaaaaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Mfariji (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE