Home Search Countries Albums

Walete

NATACHA

Walete Lyrics


Waleteeee
Waleteeee
Waleteeee
Waleteeee

Dj walete ( walete )
Waje kati ( walete )
Aah Waletee ( walete )
Tuje kupati  ( walete )
Dj walete ( walete )
Waje kati ( walete )
Aah Waletee ( walete )
Tuje kupati  ( walete )
Uuu huuuuuu huhuuuuuuuu

Nainjoy hata sina matata
Ulinzi wa kutosha sina mashaka
Tunwe tulewe njo kama unataka
Nite Laboss ukipenda Natacha
Awa hukuuuuuu (awa hapaaaaaaa )
Awa hukuuuuuu (awa hapaaaaaaaa )
Awa hukuuuuuu (awa hapaaaaaaa )
Awa hukuuuuuu (awa hapaaaaaaaa )

Mkamateni kalewa mkamateni " mkamate mkamate
Mkamateni kalewa mkamateni " mkamate mkamate
Nawadondosha  ( Nawadondosha )
Nawadondosha  ( Nawadondosha )
Kushoto kulia nawandosha  ( Nawadondosha )
Kulia kushoto nawadondosha  ( Nawadondosha )
Nawakimbiza  ( Nawakimbiza )
Nawakimbiza hao  ( Nawakimbiza )
Wakileta mapepe nawakimbiza hao  ( Nawakimbiza )
Wakileta mapepe nawakimbizaaaa  ( Nawakimbiza )

Waleteeee
Waleteeee
Waleteeee
Waleteeee
Dj walete ( walete )
Waje kati ( walete )
Aah Waletee ( walete )
Tuje kupati  ( walete )

Awa hukuuuuuu ( awa hapaaaaaaa )
Awa hukuuuuuu ( awa hapaaaaaaaa )
Awa hukuuuuuu ( awa hapaaaaaaa )
Awa hukuuuuuu ( awa hapaaaaaaaa )

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Walete (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NATACHA

Burundi

Natacha Ngendabanka is a singer from Burundi ...

YOU MAY ALSO LIKE