Pressure Lyrics

I need to be cool
Remind true story
Eeh, but am still cool though
You feel, Yo, eyoh Alex...
Spirit fall shuka, vitu nafanya ni major
Wanadai kupiga simu mtanipata mteja
Labda mtaa ama kanisa daily niko ibada
Vitu nafanya na imani ni ngumu kupata nachill(zii)
Nipate kwa store
Nipate kwa boardroom nafunga madeal
Siko matire, siko mashash
Buda me niko sobber
Mungu tawala baba
Cheza ka wewe baba
Muhanjii naomba baba
Tuweke na rada baba
Watu wana fake fake playing game
Wakifall down wanablame King
Sitaki kuwa fake me nikuwe m-ginger
Muhanjii double i, huyo boy danger
Vitu me nafanya can solve major
Huwezi cancel huyu boy danger
Huwezi cancel buda ni major
Huwezi cancel buda ni major
Life ina pressure
Mziki ni pressure
Imani ni pressure
Family pressure
Siezi teta na siezi teta
Yeah, najengwa na pressure
Yeah, najengwa na pressure
Yeah, najengwa na pressure
Life ina pressure
Mziki ni pressure
Imani ni pressure
Family pressure
Siezi teta na siezi teta
Najengwa na pressure
Najengwa na pressure
Niaje uko rada daro ukifungua bibilia unadoz
Niaje unadai tuwache kubanja daily wewe uko ngwai
Niaje unchanga kununua heli buda sadaka hutoi
Niaje unafile kukuwa independent buda na huna form
Ma-rapper kutegemea Mulei ghost writer
Daily me hu hang na Holly Ghost writer
Ni hard kukuskia ju daily una-recycle verse
Second to God, ako na goro, sijaitambua copper
Second coming pia inakuja God ata reign proper
Si walikataa kumjua wakidai ye si King
Wakavisha hawa ma-rapper wana kingdom keys
Wanadai niko na kismat hiyo ni kingdom will
Life ina pressure
Mziki ni pressure
Imani ni pressure
Family pressure
Siezi teta na siezi teta
Yeah, najengwa na pressure
Yeah, najengwa na pressure
Yeah, najengwa na pressure
Life ina pressure
Mziki ni pressure
Imani ni pressure
Family pressure
Siezi teta na siezi teta
Najengwa na pressure
Najengwa na pressure
(Its Drummer)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Pressure (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MUHANJII
Kenya
Ian Muhanji Nyawanga commonly known as "Muhanjii" , is a Kenyan rapper and songwriter,&nbs ...
YOU MAY ALSO LIKE