Accueil Recherche Pays Albums

Haga si Yako

MTALII

Haga si Yako Lyrics


Ati ieke ieke ieke huh
Ieke ni kama una ieka huh
Muweke muweke muweke huh
Muweke ni kama unamkemba huh

Ati, tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Tingisha! Tingisha ni ka ni ya mathako
Tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Ah tingisha, ah tingisha tingisha 

Tingisha ni ka haga si yako
Tingisha! Tingisha ni ka ni ya mathako
Tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Ah tingisha ni ka ni ya mkoko

Ah we we we unapenda kucheza
We we we wapenda kucheka
Ah we we we unapenda kukemba
Ah kemba si tunatesa

Nakupenda we ni one in a  million
Yako ina rangi kama chamelion
Watu wanakuita wife material
Oooh yeah yeah yeah

Cheki kanavyocheza kucheza yeah yeah yeah
Kanapenda kwa bedi na meza yeah yeah yeah
Nyuma nimesha steady ninatesa yeah yeah yeah
Usilete ufala

Ati, tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Tingisha! Tingisha ni ka ni ya mathako
Tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Ah tingisha, ah tingisha tingisha 

Tingisha ni ka haga si yako
Tingisha! Tingisha ni ka ni ya mathako
Tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Ah tingisha ni ka ni ya mkoko

Ah we we we yako iko na maji
Ah we we we na mimi ndio mkunaji
Ah we we we kudungana ni kipaji
Ah we wacha kunipima mavi

Uh, uko na ufala
Umefanya mistari zangu zikapotea
Yeah, uko na umama
Unaacha vile wasee wametegea

Say ieke ieke ieke huh
Ieke ni kama una ieka huh
Muweke muweke muweke huh
Muweke ni kama unamkemba huh

Ati, tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Tingisha! Tingisha ni ka ni ya mathako
Tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Ah tingisha, ah tingisha tingisha 

Tingisha ni ka haga si yako
Tingisha! Tingisha ni ka ni ya mathako
Tingisha! Tingisha ni ka haga si yako
Ah tingisha ni ka ni ya mkoko

Cheki kanavyocheza kucheza 
Kanapenda kwa bedi na meza 
Nyuma nimesha steady ninatesa 
Usilete ufala

Cheki kanavyocheza kucheza yeah yeah yeah
Kanapenda kwa bedi na meza yeah yeah yeah
Nyuma nimesha steady ninatesa yeah yeah yeah
Usilete ufala

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Haga si Yako (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MTALII

Kenya

Mtalii is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE