Home Search Countries Albums

Piganiange

MR SEED Feat. SAILORS

Read en Translation

Piganiange Lyrics


Praise the Lord (Amen)
Leo naenda kuwasomea Bibilia 
Petro 4:8, Inasema vipi
Pendaneni kwa moyo wote (Amen)

Na hii nafasi nataka kumpea Mr Seed hapa
Na wana choir "Sailors" 
...si mwapigie makofi
(Starborn)
Hey Mr Seed Again (Alexis on the Beat)
Sailors 254

Asante kwa pendo
Chakula na cha kulalia
Wewe ni upendo
Na Seed amekubalia 

Asanti kwa pendo
Chakula na cha kulalia
Wewe ni upendo
Na Sailors wamekubalia 

Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange
Tukipotea iyaa, tureke rekebishange
Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange
Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange

Piganiange, piganiange
Piganiange, piganiange

[Mr Seed]
Oooh nakupenda bana jo (Aiyayaa)
Zile ngori umenitoa kwa maisha yangu
Sitaki hata doh (Aiyayaa)
We ndio daddy oo 

Oooh nakupenda bana jo (Aiyayaa)
Zile ngori umenitoa kwa maisha yangu
Sitaki hata doh 
We ndio daddy oo 

[Miracle Baby]
Nani alisema wagenge hawawezi piga injili ifike
Na ni nani alisema injili tu ni yake peke yake
Kwata waya, nenga ngita njeta wavita (Ndui ndui)
Kwata waya, nenga ngita njeta wavita (Ndui ndui)

Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange
Tukipotea iyaa, tureke rekebishange
Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange
Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange

Piganiange, piganiange
Piganiange, piganiange

[Shalkido]
Niko high juu ya neno, walai ju ya neno
Niko high juu ya neno, walai ju ya neno
Niko high juu ya neno, walai ju ya neno
Niko high juu ya neno, walai ju ya neno

Ee muoyo Jesu ee muoyo
Nikio ndiraina ni tondu ee muoyo 
Ee muoyo Jesu ee muoyo
Nikio ndiraina ni tondu ee muoyo 

[Lexxy Yung]
Pedi pedi pedi wa mahoya
Leo ni kusifu tu na kuhoya
Na hii journey imekuwa tu mahoya
Nakumbuka nikikula tu U-Fresh 
Na madunya za kuhoya
Wakakaza nikakazua na mahoya

Niko happy, niko happy
Niko happy in Jesus Mighty name
Itadai itadai, itadai gutongoria ainge
Ni Messiah, ni Messiah, ni Messiah

Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange
Tukipotea iyaa, tureke rekebishange
Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange
Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange

Piganiange, piganiange
Piganiange, piganiange

[Masilver]
Sailors tumejitolea...
Walai ututume injili ibambe
Ibambe kubamba 
Toka zile enzi za "Jesu ni Mwathani"
Masilver ni nyendete mwathani
Na ndire ndahitia riathani
Na ndire ndahitia riathani
Na ndire ndahitia riathani

Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange
Tukipotea iyaa, tureke rekebishange
Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange
Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange

Piganiange, piganiange
Piganiange, piganiange

(Giddy Vybz)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Piganiange (Single)


Copyright : (c) 2021 Starborn Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MR SEED

Kenya

MR SEED real name Moses Tarus Omondi  is a recording and performing gospel artist fro ...

YOU MAY ALSO LIKE