Mama Lyrics
(Starborn)
Gidi Vybez
Unanivumilia, sana
Nikikosa unanipa motisha, nipa motisha
Nikipata doh, wa kwanza kufikiria ni wewe
Aiii ni wewe
Ata nikiomoka, wa kwanza kufikiria ni wewe
Aiii ni wewe
Unanichanganya aii
Nakupenda ulivyo, jinsi ulivyo
Unanivumilia sana
Nikikosa unanipa motisha, nipa motisha
Ni heri nikose upate, nikose upate
Ni heri nikose upate, wewe mama wewe
Ni heri nikose upate, nikose upate
Ni heri nikose upate, wewe mama wewe
Mama ooh, mama
Mama nakupenda mama
Mama ooh, mama
Mama nakupenda mama
--------
LIl Baalil
--------
You know I love only you
Whatever you say I love it too..
----
Unanivumilia, sana
Nikikosa unanipa motisha, nipa motisha
Mama ooh, mama
Mama nakupenda mama
Mama ooh, mama
Mama nakupenda mama
You know I love only you
You like what you say I love it too..
----
You know I love only you
You like what you say I love it too...
Mr Seed Again na Lil Baalil
Is a Kenya-Somalia connection yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Black Child (Album)
Copyright : (c) 2021 Starborn Empire.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MR SEED
Kenya
MR SEED real name Moses Tarus Omondi is a recording and performing gospel artist fro ...
YOU MAY ALSO LIKE