Kiniky Lyrics
Uchungu wajuwa mzazi shamba niyako juwa ku ilinda
Atukulaki kwabo,achana nabyabo
Uli panda paruliya na uta vuna mwenyewe eh
Wengine wata penda kukuatibiya uhmm
Ju aina byabo
Wanaka pami lago
Nyumba isho namilango
Apana mama we usi jali ata kama bana ni ita
Kilubi enn we nilinde nitiye akilini
Everyone one gooooo
Ohh mama yoh baba yo
Kiniky kiniky kiniky yeye
Kilubi ni kyako kilubi ni kyako
Kiniky kiniky kiniky yeye
Kilubi ni kyako
You super stars una nichunga
My account bank soon full money
And other we can call me mr money
Baba mama vumilia
Uku tangu nilifika
Matatizo leo kesho uhmm
Oluwa familia
Watu wote macho kwangu
My energy so hight my nigga usi kose kuwa fikishiya message
My nigga uhhm
No lie
Don't cry
Kiniky kiniky kiniky yeye
Kilubi ni kyako kilubi ni kyako
Kiniky kiniky kiniky yeye
Kilubi ni kyako kilubi ni kyako
No lie too money money come eh
Uchungu wajuwa mzazi shamba niyako juwa ku ilinda
Atukulaki kwabo achana nabyabo
Badaye ma mama sexy mama adena
Balenciaga dena
Ma difenda
Balenciaga dena
No lie too money money come ennn
The dangerous boy
Mr g amarc
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Amarc G
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE