Chingri Lyrics
(Siren on the Beat)
Zimenibamba kama gode niko
Kwote kwote niko, South B
Ah Oyole na bado niko Mbote
Zimenibamba kama gode niko
Kwote kwote niko, South B
Oyole jo na bado niko Mbote
Hawa mandranya vile hao unidhigitha jo akili
Itabidi jo nimeze mara moja mara mbili
Ako Chingri, mi nampiga viding viding
Na madem wana rasa kwanza biggy biggy
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Hii design nimewaka jo naskia kumedi
Na cabin iko full nimejikill na mahedi
Nilifika bei ya bag nikasare form za pedi
Kuanuliwa zabe nikiseti mashada kama 20
Na buda mko jeshi wengine wamebleki kwa bedi
Matembe macookie na makeki
Pedi na karai nyi wengine ting ting
Kubwa kubwa tukanyage hadi stenje
Huko ni kunare marungu makubare
Kucheza inadi ngware na huwezi toka sare
Kwani we ni nani? Buda mi bazenga
Party everyday ya kalenda
Ati Jan to December luku kuwatesa
Magyal kuwakemba wafiti kuwa 'mmmh'
Natasha Rukia hadi Brenda
Mamiti bongibenda mguu kwa mabega
Kuweka stingo hupenda
Leo Gwethe inanizoza bogota
Natambua ma S-Class reyacho mrota
Saa ya renango sinawo kuburuka
Kadabu zingting nilimbuyuka
On the left kuwachain kama riat
Vile nariau mawada ni kaa anadai kufyat
Nikutiap kumechrome makinia kama ng'at
Na vile ninaball utadhani ni ftiach
Zimenibamba kama gode niko
Kwote kwote niko, South B
Oyole jo na bado niko Mbote
Hawa mandranya vile hao unidhigitha jo akili
Itabidi jo nimeze mara moja mara mbili
Ako Chingri, mi nampiga viding viding
Na madem wana rasa kwanza biggy biggy
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Napenda jo mangoma zikigonga kwa mokish
Unashikanga kamanzi kanatingisha pongi
Nawachanganya ukuru na madem wa kigondi
Wakipiganga makali na kichain ya kimbogi
Nduku manzi kanadrive na hakajasomea
Kanaweka ngata yote kananidrive vicrazy
Kananiita master Mbote ju nimekuwa mdeadly
Naroga toka Umo, Toka Dando hadi bedi
Ni pedi atabakingi tu ametuseti
Mi odi nimesetingi chuma utadedi
Hio mbogi itabakingi tu ni ya warezi
Ju ngoma ishaiva ata nawapakuli
Kwa Insta tulivuma tukabakishaga Twitter
Na Youtube ni mamita kwa matatu zero sita
Ju ngoma inagonga sai nayo mtalipa
Ah saa hii nayo mtalipa
Look fisa automatically
And mad we bad automatically
Kwa lojo wifi ina connect automatically
Mavazi kali wathii, masling na ni mali
Nabehave vi-abnormally automatically
Siwezi hepa ball siknow kucheza kati
Na ule hafurahii kidole cha kati
Machapati zitatembea must utii
Empress anadai kunitaste
Hadai kunicheza anadai kunikiss
Empress anadai nimpress
Nampress na hadai kuni-impress
Zimenibamba kama gode niko
Kwote kwote niko, South B
Oyole jo na bado niko Mbote
Hawa mandranya vile hao unidhigitha jo akili
Itabidi jo nimeze mara moja mara mbili
Ako Chingri, mi nampiga viding viding
Na madem wana rasa kwanza biggy biggy
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Kuna mbogi kuna rada tutafika tunaknock
Stoki kuna raha ukifika we mochoa
Eeh kuna wengine wanakaa tu mang'ombe
Aki walai wacha tu niwaombee
Cheki ka unapata ni kama Lucifer to Satan
Ukibleki ju umekata we jua ni utaona rada
Eeh sai pia mtaniita mpandre
Look safi look ya Sunday
Bomb, nimekam area nimejipin mandom
Nilioga na kipande na nanukia cologne
Naraukanga mangware ndo niwakutie kwa chuom
Saa ile na ile idhaa ya salom
Zimenibamba kama gode niko
Kwote kwote niko, South B
Oyole jo na bado niko Mbote
Hawa mandranya vile hao unidhigitha jo akili
Itabidi jo nimeze mara moja mara mbili
Ako Chingri, mi nampiga viding viding
Na madem wana rasa kwanza biggy biggy
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Na ukipita hivi nitakudigi digi
Ako Chingri, viding viding
Na madem, biggy biggy
Na ukipita, digi digi
Na ukipita, kudigi digi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Chingri (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MR DEEN
Kenya
Mr. Deen Muziq Is A Talented Young Vasertile Artist Based In South B (Nairobi), Kenya, he does genge ...
YOU MAY ALSO LIKE