Home Search Countries Albums

Mo Faya

MOJI SHORTBABAA Feat. COLLO

Mo Faya Lyrics


Shetani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka
Shatani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka

Ah mo faya, ah ah mo faya 
Ah yeah mo faya, ah yeah mo faya
Yeah yeah mo faya, Ah yeah yeah mo faya
Ah yeah yeah mo faya, mo faya mo faya mo faya

Ah we ni video ni drama
Moto ikiwaka kuna vitu zitahama
Siwezi explain siwezi pata grammar
Leta moto baba tunataka kuzama

Ngoja uone viwete marathon
Mabubu wako studio wakitoa masong
Viziwi utaskia wakisema come again
Na walio kufa watapumua again

Ah leta moto, baba leta moto
Hii hawawezi zima hata na mazima moto
Hii ikiwaka haiwezi choma photo
Hatuingizi njeve ah tushapata joto

Wacha iwake, ai ai wacha iwake
Oh wakikam ili atupate
Ukizuru wengine Baba usituache

Shetani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka
Shatani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka

Ah mo faya, ah ah mo faya 
Ah yeah mo faya, ah yeah mo faya
Yeah yeah mo faya, Ah yeah yeah mo faya
Ah yeah yeah mo faya, mo faya mo faya mo faya

Oh mama Collabo ya Collo na Moji Shortbaba
Tunakiri Yesu ndiye don dada
As you can see twakupa vitu real kaka
Tukiimba Hosana, kuja bas hakuna cha kugombana

Unity is there hatuwezi kosana
Black lives matter so nafloss matter
Wacha iburn wacha iburn 
Hapa hatuhitaji maji wacha iburn
Wacha iburn wacha iburn 
Tuko spiritually lit wacha iburn
Yeah coz I am what I can
If it's dope I don't walk but I run
Man under sun was the plan
So for me niko free no saitan

Shetani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka
Shatani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka

Ah mo faya, ah ah mo faya 
Ah yeah mo faya, ah yeah mo faya
Yeah yeah mo faya, Ah yeah yeah mo faya
Ah yeah yeah mo faya, mo faya mo faya mo faya

Ah Collo kwani hawajui
Moto ukiwaka shetani huwa hasumbui
Ah hio yote niko sure wanajua
Sitazua kila mtu huchagua ku mature

Na wanajua wakiomba si hasira
Milango itafunguka ka Paulo na Sila
Paulo na Sila, Paulo na Sila
Ningenawa mkono though taulo ndo sina

Ah we wacha uone, moto ukiwaka we wacha upone
Yeah..Ilibidi niokoke jiko ishawaka nishakupata usikonde
Kumewaka, kumewaka sa kila Bible itakubali mashtaka
Ha kumechacha hakuna kukacha Yesu nakubali mimi nakutaka

Shetani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka
Shatani anainama, anainuka
Anaona moto anatoroka

Ah mo faya, ah ah mo faya 
Ah yeah mo faya, ah yeah mo faya
Yeah yeah mo faya, Ah yeah yeah mo faya
Ah yeah yeah mo faya, mo faya mo faya mo faya

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Cheza Gospel (EP)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MOJI SHORTBABAA

Kenya

Moji Shorbaba is a Kenyan gospel artist from Kelele Takatifu which consist of Didi & Moji Shortb ...

YOU MAY ALSO LIKE