Home Search Countries Albums

Amina Lyrics


Nimerusha kete umeniweza
Akiba ya upendo nawekeza
Napenda ukiwa tungi unachombeza
Macho yako mlenda unalegeza
Unazidi kuwa mpole 

Amina! Nashindwa mi kujitambua 
Naona Amina kama umeniroga
Amina! Uzuri wa sifa zako 
Naona Amina ipo siku utanitoroka 

Amina! Mi napata burudani kila muda
Amina unapo oga
Amina! Kutaja jina lako 
Amina wangu sitochoka

Mi napenda jinsi unavyonesa
Unayumba kushoto kulia
Hisia za mapenzi mi unanionyesha
Ukilewa mi unanivutia

Mbona wananyemelea whats happen
Wakija tena baby gal wachape
Remember we unabelong na Mesen
Wakatishe tamaa wachange locatio

Wajua nakumiliki badman
Kimaisha niko fiti sina dhiki bossman
Kisa sina mbwembwe wakajua deadman
Kumbe bado nipo mi naishi duniani

Kula raha baby girl acha pressure
Kula raha haya maisha tunatesa
Kula raha njoo tujenge combination
Goodbye Babylon, goodbye

Amina! Nashindwa mi kujitambua 
Naona Amina kama umeniroga
Amina! Uzuri wa sifa zako 
Naona Amina ipo siku utanitoroka 

Amina! Mi napata burudani kila muda
Amina unapo oga
Amina! Kutaja jina lako 
Amina wangu sitochoka

Wajua nakumiliki badman
Kimaisha niko fiti sina dhiki bossman
Kisa sina mbwembwe wakajua deadman
Kumbe bado nipo mi naishi duniani

Amina! Nashindwa mi kujitambua 
Naona Amina kama umeniroga
Amina! Uzuri wa sifa zako 
Naona Amina ipo siku utanitoroka 

Amina! Mi napata burudani kila muda
Amina unapo oga
Amina! Kutaja jina lako 
Amina wangu sitochoka

Nashindwa mi kujitambua 
Naona Amina kama umeniroga
Uzuri wa sifa zako 
Naona Amina ipo siku utanitoroka 

Mi napata burudani kila muda
Amina unapo oga
Kutaja jina lako 
Amina wangu sitochoka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Amina (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MESEN SELEKTA

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE