Home Search Countries Albums

Wastahili

MERCY MASIKA

Read en Translation

Wastahili Lyrics


Mungu wa wokovu wangu
Wastahili kusifiwa
Hakuna kama wewe Yesu
Kule kuwa kama Mungu
Uliona si kitu
Cha kushikamana nacho
Ukaacha enzi ukashuka kwetu
Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu
Cha kushikamana nacho
Ukashuka kwetu
Kutukomboa
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa
Ukatoka na nguvu na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele
Lile kaburi
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa
Ukatoka na nguvu na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele
Wastahili wastahili
Wastahili
Utukufu na nguvu
Zina we zina we
Eeh Bwana eeh Bwana
Halleluyah halleluyah
Halleluyah
Halleluyah Yaweh Halleluyah
Halleluyah
Utukufu utukufu utukufu
Utukufu na nguvu na nguvu
Zina we zina we
Wastahili wastahili
Wastahili Baba
Wastahili Baba wastahili
Utukufu na nguvu
Zina we zina we
Zina we
Eeh Bwana eeh Bwana
Hallelujah hallelujah
Hallelujah hallelujah
Hallelujah Yaweh hallelujah
Ooh
Hallelujah
Utukufu utukufu
Na nguvu na nguvu
Zina we zina we
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa shujaa
Ukatoka na nguvu ukatoka na nguvu
Na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele twakuabudu
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa lilishindwa lilishindwa
Ukatoka na nguvu ukatoka na nguvu
Na mamlaka na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele
Wastahili wastahili wastahili
Wastahili
Utukufu utukufu na nguvu zina 'we
Eeh Bwana
Hallelujah hallelujah
Hallelujah hallelujah hallelujah
Hallelujah hallelujah
Utukufu utukufu na nguvu zina we zina we
Wastahili wastahili
Utukufu na nguvu
Zina we
Eeh Bwana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Wastahili (Album)


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

MERCY MASIKA

Kenya

Mercy Masika is a Gospel Singer and songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE