Shule Yako Lyrics

Baba nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yako kwa shule yako
Nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shuke yako kwa shule yako
Nikiwa nawe kama mwalimu
Ninajua nitahitimu
Nitashinda adui akileta majaribu
Unitayarishe unibadilishe
Mtihani nipite mwito nilipize
Nijue kuandika niandike maono yangu
Nijue kuhesabu nihesabu baraka zako
Nijue kuongea nihubiri neno lako
Kwa watu wako
Baba nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yako kwa shule yako
Nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yako kwa shule yako
Shule yako hatudanganyi ni ukweli na uwazi
Wanafunzi hawagomi mwalimu atujali
Unifunze mipango wote niwaheshimu
Yesu ni mwalimu yesu ni mwalimu
Nijue kuandika niandike maono yangu
Nijue kuhesabu nihesabu baraka zako
Nijue kuongea nihubiri neno lako
Kwa watu wako
Baba nichukue nifunze nataka kusoma,
Kwa shule yako kwa shule yako
Nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yako kwa shule yako
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Shule Yako (Single)
Copyright : (c) 2017
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE