Huyu Yesu Lyrics
Halelulah Onhooooo
Huyu Yesu si sanamu Si mwanadamu adanganye
Ahadi zake zote kweli Na Amina nimemuona
Na akisema Ndio Hakuna wa kumpinga
Akikubariki hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi kwa wakati atimiza
Anavyokuita ndivyo ulivyooo
Huyu Yesu huyu Yesu si hadithi mwambie
Unatangaziwa nini umetabiriwa nini maishani mwako mwambie
Unaumizwa na nini je unahofu gani maishani mwako
Mwambieeee
Na akisema Ndio Hakuna wa kumpinga
Akikubariki hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi kwa wakati atimiza
Anavyokuita ndivyo ulivyooo
Huyu Yesu huyu Yesu si hadithi mwambie
Onhoooo Mwambieeeee enheeee
Huyu Yesu huyu Yesu si hadithi mwambie
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Huyu Yese (Album)
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE