Kale Nilitembea Lyrics

Kale nilitembea
Nikilemewa dhambi
Nilikosa msaada
Kuniponya mateso
Kale nilitembea
Nikilemewa dhambi
Nilikosa msaada
Kuniponya mateso
Usifiwe msalaba
Lisifiwe kaburi
Linalozidi yote
Asifiwe mwokozi
Usifiwe msalaba
Lisifiwe kaburi
Linalozidi yote
Asifiwe mwokozi
Hata nilipofika
Mahali pa msalaba
Palinifaa sana
Sitasahau kamwe
Hicho ndicho chanzo
Cha kufurahi kwangu
Hapo ndipo mzigo
Uliponituliwa
Hicho ndicho chanzo
Cha kufurahi kwangu
Hapo ndipo mzigo
Uliponituliwa
Hicho ndicho chanzo
Cha kufurahi kwangu
Hapo ndipo mzigo
Uliponituliwa
Usifiwe msalaba
Lisifiwe kaburi
Linalozidi yote
Asifiwe mwokozi
Panapo msalaba
Kinatolewa cheti
Cha kuingia mbinguni
Kisicho cha kanisa
Usifiwe msalaba
Lisifiwe kaburi
Linalozidi yote
Asifiwe mwokozi yule
Bwana mjinga
Likwenda bila
Cheti kitumai kwingia
Kama walio
nacho lipofika langoni akaulizwa cheti cha kumwonyesha Bwana akakutwa hanacho lituhuzunishalo ni ninyi msio nacho
kuwa kama mjinga
kwa siku ya arusi ubavuni mwa Yesu mlitokea damu chemchemi ya uzima itakasayo roho jitahidi wingie damuni mwa mwokozi utafutiwa dhambi toka rohoni mwako
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Kale nilitembea (Single)
Copyright : ©2016
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE