Home Search Countries Albums

Alisikia

MANOLO

Alisikia Lyrics


Have you ever cried before God
Bawled out your eyes before Him
Hoping that He hears you
Hoping that He'll come
Ushaimlilia Jehova
Ukimuomba aje
Hapa nilipo Baba siwezi peke yangu

Alisikia Alisikia Alisikia
Amenituma nikueleze
Alisikia Alisikia Alisikia
Na hata sasa ukiomba
Anasikia Anasikia Anasikia
Hata kesho ukiomba
Atasikia Atasikia Atasikia

Bwana sikio lako si zito
Lisiweze sikia
Haya maneno yangu ya moyo
Yatakufikia
Bwana sikio lako si zito
Lisiweze sikia
Ukayafuta machozi ya Hannah
Futa yangu pia

Utanisikia ,Alisikia
Amemituma nikueleze
Alisikia Alisikia Alisikia
Amenituma nikueleze
Alisikia Alisikia Alisikia
Hata sasa ukiomba
Anasikia Anasikia Anasikia
(Right now right now He hears you right now every word you said)
Hata kesho ukiomba
Atasikia Atasikia Atasikia

Bwana sikio lako si zito
Lisiweze sikia
Haya maneno yangu ya moyo
Yatakufikia
Bwana sikio lako si zito
Lisiweze sikia
Ukayafuta machozi ya Hannah
Futa yangu pia

Unanisikia Unanisikia Unanisikia Unanisikia Unanisikia
Hata sasa nikiomba

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Alisikia (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MANOLO

Kenya

Manolo is a Christian Pop and Rap Artiste from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE