Chepukati Lyrics
Candy n Candy!
Uuuu...uuuuuuu
Mavo yaani majirani ametujoin aki
Eeh kujeni tufukuze hao mambleina aki
Yaani chepukati, wakwende!
Hii unaeza chomoa nayo mark bana oka!
(Mavo on the Beat)
Mi ni simba tena sio ndama
Nimekuwa nikiwaandama
Muda mwingi nikiwatazama
Zigo boring tena za fanana
Nguo baggy tena za kimbleina
Uatani je utawezana?
Mimi baba tena baba Etana
Baba tena baba ya Etana
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Stepping stepping nastep nikiringa
Juu ya looku fine ndula ni Adidas
Tukimuok de jua watabuya
Hii ni sailors mbogi ya wajanja
KRG uliskia wapi dinga
Tunadai ship kam na mizinga
Mi napenda bomb bomb tukiparty
Mi nasaka nitapata, nizipate nipate
Kupeleka mama tu maparty
Ale pizza na makuku
Leta baze ni mamate
Kisha bomb bomb bomb ndio nijikate
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Ngoja ngoja, ngoja ngoja
Ngoja ngoja, ngoja ngoja
Ati buda niliskia
Unasema si tunakudare
Usenge ni usenge
Usituletee ujinga ni uburukenge
Na madenge ni madenge
Na maboy washikana wawape miti
Ah usenge ni usenge
Usituletee ujinga ni uburukenge
Na madenge ni madenge
Na maboy washikana wawape miti
Nimejiblock ndio maana unaona nikipuke
Acha niite Betty ju dame amebeat
So fine ka mat za Ong'ata
Tunachafua mpaka disco matanga
Yesu akirudi atapata kameshika
Niko na miracle tunafanya miujiza
Long time nimerudi na sibishi
Industry niko official bila suti
Mbogi ya sailors tunajua kametiki
Wachokeshe ka updates za Mutahi
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Hapa ni wapi tumezungukwa na mangoko
Na pia KFC si hukulanga tu mangoko
Hapa ni wapi tumezungukwa na masonko
Ju si kusota itakuwa tu ni mathongo
Club kuchondoka itakuwa ni mathongo
Woii woii itakuwa ni mathongo
Club kuchondoka itakuwa ni mathongo
Woii woii itakuwa ni mathongo
Narobi eeh (Eeh) Nairobi aaah (Aah)
Narobi eeh (Eeh) Nairobi aaah (Aah)
Nina form so inabidi muijaze
Kameshika niko jaba hadi ngware
Mna vitisho mambwe mbwe kelele
So bazu nimefika mkalale
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Eeeh Chepukati (Ehh Chepukati)
Mnasemanga akoko ni wazimu
Mi wazimu wa mawazimu skiza
Ni hii kitu imefanyika juu ya Nara
Nara aah, nara weee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Chepukati (Single)
Copyright : (c) 2020 MRX Media.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE