Home Search Countries Albums

Vasha Lyrics

(Magix Enga on the Beat)
Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee 

Skia vile nabonga sifikii breaks ju dem ako session
Dj ni nani? izo mangoma zirudi rotation
Kwani ni kesho si hatujakuja kucheki magari 
Na wacha kubonga ambia serikali ikupatia kazi

Dem amekatika sana makeup kutoka amekaa Kimani
Inaweza kuwa muhadhara kujipata na hii kitu kejani
Wacha nichanga location nisilewe nione mali ni safi
Ama nichome kigode zii, zitanishow nimpee nafasi uh

Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee 

Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee 

Vile nganya inatoka kehuti inabidi ngeus akwame na chuma
Hakuna kujuana majina kama umeiva mate lazima
Ju hii ni subaru ina logo ya Bima vile utapigwa si utazima
Dem wako ameniomba viatu nikampiga ma Fila's 
But mi nimesota Yes lakini siwezi piga kitu imechoka
Na hapa ni Vasha tings ngoko inapigwa mpaka inamochoka

Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee 

Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee

Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee 

Wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio Gin
Enda kwa boot nina Konyagi leta hio Gin
Hakuna rolls mrembo wa Vasha shukisha jeans 
So wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Vasha (Single)

Copyright : (c) 2021

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAGIX ENGA

Kenya

Magix Enga real name Njenga Chege aka Beat King is a music producer and a Singer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE